OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Habari wakuu,
Mji wa Morogoro mjini haukuwi kwa kasi sababu umebanana,
Stendi ya msamvu isogezwe Azimio au mbele huko mitaa ya kwa chambu usawa wa shamba la katani kushoto kama unaenda mkundi,
Ili iwe jirani na kituo cha SGR.
Kituo cha bus msamvu kigeuzwe kuwa uwanja wa mpira wa kisasa,
Miundo mbinu yote ipo kama vile parking, vyoo, jengo la mapumziko n.k ni kuweka nyasi na viti tu timu zinaingia uwanjani (maboresho kidogo)
Pia location ipo vizuri, picha ya angani itatoka vizuri.
Utalii wa mikumi utakua kwa timu za kigeni zitapata fursa ya kutalii huko.
Nawasilisha