OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Wewe kama sio mdau wa mpira huwezi kuuelewa huu uziAsante kwa kieleele chako
Mkuu hata uwanja ni kitega uchumi kizuri huoni manispaa ya kinondoni imejenga uwanjaHyo stend ilijengwa kwa ubia kati ya mfuko wa pension wa wafanyakazi wa serikali za mitaa ( LAPF) kwa kipindi hicho pamoja na manispaa ya morogoro. Manispaa walitoa eneo na LAPF wakatoa pesa nikama ilivyo kule mwanza na kitega uchumi cha Rock city mall. Sasa wakivunja stend wastaafu pension zao itakuwaje ?
Wewe unaangalia kodi ya pangolin kwenye flame za maduka na% kwenye kiingilio stend inaingiza pesa kila siku. Emu fikilia kila bus linalopita stend ya msanvu linalipa elfu kumi ujaweka coster ujaweka maegesho ya nje ujaweka pesa ya wale wanaotaka kuingia ndani ujaweka kodi za pango. Stend nikitu kingine.Mkuu hata uwanja ni kitega uchumi kizuri huoni manispaa ya kinondoni imejenga uwanja