Serikali ihakiki mikopo ya wafanyakazi

Serikali ihakiki mikopo ya wafanyakazi

Nchi zilizoendelea serikali ndo inaweka ukomo wa kiwango cha riba kwenye mikopo, hapa bongolala utaratibu umeachwa holela unakuta taasisi za kukopesha zinazotoza riba kubwa isiyo na uhalisia, na hili swala hadi mitandao ya simu imeingia kutoa mikopo ya kuwaumiza wakopaji kwa riba kubwa zisizo na uhalisia.

Mikopo umiza ni matokeo ya serikali kutowajibika ipasavyo kuweka na kusimamia sheria zinazoongoza maswala ya kutoa mikopo ikiwemo kiwango cha riba.​
 
BOT sijui wanafanya nini kwemye issue ya mikopo. Sheria ipo lakini hawaisimamii ipasavyo wamebaki kutoa press realese tu pasipo ufuatliaji.
 
mikopo inawaumiza wafanyakazi wa serikali ,serikali ya ccm mbona amna huruma na wafanyakazi wenu ambao awana posho zozote za ziada zaidi ya vimshahara vya tgs
 
Hivi hakuna namna ya serikali kuhakiki mikopo ya watumishi, sawa na jinsi walivyo hakiki vyeti.

Watumishi wengi sana wanaumizwa na taasisi za kifedha... Mwisho wa siku utendaji kazi wao unakuwa hafifu.
Hili ni la msingi sana, Kuna mwaka nakumbuka Bayport walipigwa stop
 
Hivi hakuna namna ya serikali kuhakiki mikopo ya watumishi, sawa na jinsi walivyo hakiki vyeti.

Watumishi wengi sana wanaumizwa na taasisi za kifedha... Mwisho wa siku utendaji kazi wao unakuwa hafifu.
Ni muhimu wachunguze hata ule mkeka wa spreadsheets za monthly deductions, benk zinakata in advance halafu hawarejeshi, hata riba hizi taasisi zinakwapua hatari bin kabuuzi
 
Kwani tumewalazimisha kukopa ? Tuacheni tukusanye riba tuendelee kula maisha🐒

TANGAZO: Mikopo nafuu inapatikana ndugu watumishi, kama una gari namba D na kuendelea, TV flat nchi 40 au zaidi iwe Sony, Samsung, LG, Hisense au TCL tuwasiliane watumishi !
 
Back
Top Bottom