tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,327
- 4,624
BOT sijui wanafanya nini kwemye issue ya mikopo. Sheria ipo lakini hawaisimamii ipasavyo wamebaki kutoa press realese tu pasipo ufuatliaji.Nchi zilizoendelea serikali ndo inaweka ukomo wa kiwango cha riba kwenye mikopo, hapa bongolala utaratibu umeachwa holela unakuta taasisi za kukopesha zinazotoza riba kubwa isiyo na uhalisia, na hili swala hadi mitandao ya simu imeingia kutoa mikopo ya kuwaumiza wakopaji kwa riba kubwa zisizo na uhalisia.
Mikopo umiza ni matokeo ya serikali kutowajibika ipasavyo kuweka na kusimamia sheria zinazoongoza maswala ya kutoa mikopo ikiwemo kiwango cha riba.
Hili ni la msingi sana, Kuna mwaka nakumbuka Bayport walipigwa stopHivi hakuna namna ya serikali kuhakiki mikopo ya watumishi, sawa na jinsi walivyo hakiki vyeti.
Watumishi wengi sana wanaumizwa na taasisi za kifedha... Mwisho wa siku utendaji kazi wao unakuwa hafifu.
Ni muhimu wachunguze hata ule mkeka wa spreadsheets za monthly deductions, benk zinakata in advance halafu hawarejeshi, hata riba hizi taasisi zinakwapua hatari bin kabuuziHivi hakuna namna ya serikali kuhakiki mikopo ya watumishi, sawa na jinsi walivyo hakiki vyeti.
Watumishi wengi sana wanaumizwa na taasisi za kifedha... Mwisho wa siku utendaji kazi wao unakuwa hafifu.