Vichekesho
Member
- Jun 20, 2024
- 66
- 3,277
Chonde chonde, viongozi wa serikali hakikisheni club hii yenye nasaba na Uhuru wa hii nchi (Dar es Salaam Young Africans)
1. Inambakiza Aziz Ki (kwa makusanyo ya ndani hususa ni bandarini)
2. Wafanyabiashara wakubwa walio wekeza Tanzania kama GSM, DP World, Rostam Aziz Aliko Dangote na wengine watoe kiasi kisichopungua bilioni 10 kila mmoja kwaajili ya kununua ndege ya kifahari ya Club.
3. Ianzishwe tozo maalumu kwa watumiaji wote wa simu kwaajili ya kuhakikisha Yanga inatwaa club bingwa ya Africa msimu huu.
4. Wafanyabiashara watakao toa ushirikiano wapewe unafuu kwenye biashara zao na wazitangaze kupitia redio na televisheni ya taifa bure.
IKUMBUKWE:
1. Kati ya timu zote zinazoshiriki michuano ya kimataifa ni Yanga pekee hutumia jezi zenye rangi 3 kati ya 4 zilizopo kwenye bendera ya taifa (Njano, Kijani na Nyeusi)
2. Yanga ndiyo timu pekee yenye rangi zinazo shabihiana na chama kikongwe zaidi ambacho bado kipo madarakani hadi leo.
Daima Mbele, Backward Never.
========
Updates: Amebaki. Asante serikali ya chama cha Mapinduzi, kwakweli mimi siwaungi mkono kwenye mambo yote ila hili la Yanga tupo pamoja.