Kuna hii mbinu ya kuwafuata wananchi majumbani kuwaandikisha kupiga kura kwenye chaguzi za serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 2024.
Ninajiuliza tu, kuandikisha wanafuatwa nyumbani. Siku ya kupiga kura watapelekewa masanduku na karatasi za kupigia kura nyumbani wapige kura? Ninadhani serikali imekosa ubunifu. Uchaguzi utadorora sana mwaka huu.
Kuna karani mmoja anaambiwa na raia kuwa asingemfuata asingeenda kujiandiksha. Unajiuliza kama hawezi kwenda kujiandikisha, je ataenda kupiga kura?
Ninadhani kuna jambo la kufanya kuwahamasisha wananchi wajiandikishe kisha wakapige kura siku ya uchaguzi.