Watu awaoni umuhimu wa kufanya hivyo kutokana na kuchoshwa na vitendo vya ubadhilifuKuna hii mbinu ya kuwafuata wananchi majumbani kuwaandikisha kupiga kura kwenye chaguzi za serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 2024.
Ninajiuliza tu, kuandikisha wanafuatwa nyumbani. Siku ya kupiga kura watapelekewa masanduku na karatasi za kupigia kura nyumbani wapige kura?
Ninadhani serikali imekosa ubunifu. Uchaguzi utadorora sana mwaka huu.
Kuna karani mmoja anaambiwa na raia kuwa asingemfuata asingeenda kujiandiksha. Unajiuliza kama hawezi kwenda kujiandikisha, je ataenda kupiga kura?
Ninadhani kuna jambo la kufanya kuwahamasisha wananchi wajiandikishe kisha wakapige kura siku ya uchaguzi.
Kuna hii mbinu ya kuwafuata wananchi majumbani kuwaandikisha kupiga kura kwenye chaguzi za serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 2024.

Moja ya Sababu za kuandikisha ni pamoja na kuingiza wale wapya ambao hapo kabla hawakufikia umri na hawana vitambulisho wala NIDA na sasa wamefikia umri. THINK BIGNi usumbufu tu, kwanini vitambulisho vya NIDA au kitambulisho cha mpiga kura kisitumike kumchagua kiongozi unayemtaka, nadhani ni mbinu ya ccm kudiscarage watu wasipige kura.
Kuna hii mbinu ya kuwafuata wananchi majumbani kuwaandikisha kupiga kura kwenye chaguzi za serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 2024.
Ninajiuliza tu, kuandikisha wanafuatwa nyumbani. Siku ya kupiga kura watapelekewa masanduku na karatasi za kupigia kura nyumbani wapige kura? Ninadhani serikali imekosa ubunifu. Uchaguzi utadorora sana mwaka huu.
Kuna karani mmoja anaambiwa na raia kuwa asingemfuata asingeenda kujiandiksha. Unajiuliza kama hawezi kwenda kujiandikisha, je ataenda kupiga kura?
Ninadhani kuna jambo la kufanya kuwahamasisha wananchi wajiandikishe kisha wakapige kura siku ya uchaguzi.
Watu awaoni umuhimu wa kufanya hivyo kutokana na kuchoshwa na vitendo vya ubadhilifu
Hivi kumbe bado kuna watu wanaopiga Kura mi sijui hata inakuaje sijawahi kupiga Kura tokea nizaliwe, na sitawahi
Ni usumbufu tu, kwanini vitambulisho vya NIDA au kitambulisho cha mpiga kura kisitumike kumchagua kiongozi unayemtaka, nadhani ni mbinu ya CCM kudiscarage watu wasipige kura.
Mimi hata wakija sitajiandikisha