Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
Nikiri wazi kuwa mimi ni mmoja wa watuamiaji wa vivuko vinavyosimamiwa na TEMESA katika eneo la Ferry Kigamboni.
Niwapongeze kwa kuingia makubaliano na Azam kama mdau wa usafiri wa majini kwa kuja na SEATAX ingawa nijuavyo yapo mazingira ya kunufainishana kwa wakubwa in either ways and levels.
Vivuko katika eneo hili vimekuwa vikilalamikiwa hasa kutokana na kutofanya kazi vizuri mara kwa mara aidha kwa sababu za uzembe katika usimamizi unaotokana na wahusika kutokuwa na weredi au uzembe wa kimazoea.
Uvushaji wa Abiria leo ulikuwa mgumu sana kutokana na panton moja kubwa la magogoni ku-park upande wa pili wa kivuko (kivukoni Posta) nilistaajabu sana ilipokuja kusikia eti kivuko kile kimepark kwa kuwa tu kimeishiwa mafuta, nikajiuliza maswali mengi mno inawezekanaje kivuko kikubwa kama kile mabcho ndicho tegemeo hapo kuishiwa mafuta hadi kufikia ku-park, inastaajabisha sana! is obvious kuna Gauge na miundombinu kedekede inayoonesha na kutoa tahadhari za kupungua kwa nishati hiyo ya mafuta, Je nahodha hakuona, kama aliona alitoa taarifa, kama alitoa taarifa ni nini kilisababisha hadi hatua ya kufikia kivuko kupark? kwa nini hatua za makusudi zichukuliwe kwa uzembe huu?
Madhara ya kufanya kazi katika hali ya mazoea naamini seikali isipofumbua macho na kuchukua hatua ni dhahiri ipo siku itawagharimu wavukaji kwa uzembe ambao unaweza kuepukika.
yapo mapungufu ambayo kwa kweli TEMESA inatakiwa kujitafakari sana, wafanyakazi wa pale sijui ni kukata tamaa au kutosimamiwa vema, yaani wapo so disorganized, kuna wakati unaona huyu anafungua gate la abiria, huku magari bado nayo yanafunguliwa gate yaani rabushani tu nahisi kuna maarifa fulani yanakosekana kwa wasimamizi wa eneo husika.
Ukija kwenye Machine za ku-scan unakuta katika machine 6 mbili zimewekewa mifagio au ndoo kwamba hazifanyi kazi, nime notice hilo jambo zaidi ya siku 4, hivi machine inayokuingizia pesa inakaa idle siku zaidi ya 3, is it make sense?
SERIKALI CHUKUENI HATUA ZA MAKUSUDI, IFUMUENI TEMESA NA UNITS ZAKE ZOTE UPO UZEMBE MKUBWA SANA PALE, LETENI WATU COMMITTED WENYE WEREDI NA WATAKAOWEZA KUSIMAMIA VIZURI HUDUMA LAKINI PIA MAPATO SEHEMU HIZO.