Serikali iichunguze DAWASA kuhusu urefu wa visima vyake vya maji Mbagala Charambe

Serikali iichunguze DAWASA kuhusu urefu wa visima vyake vya maji Mbagala Charambe

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
21,741
Reaction score
26,735
DAWASA Mbagala Charambe imekuwa ikisambaza maji yasiyofaa kwa matumizi, hali hii imekuwa kwa miaka sasa kiasi cha kusababisha wakazi kuchimba visima vyao, tofauti kubwa ni visima vya DAWASA kuwa na maji yenye chumvi nyingi sana kama ya baharini tofauti na ya watu binafsi

Kuacha kutumia maji ya DAWASA kumeifanya serikali ionekane imeshindwa kutekeleza wajibu wake kwa wananchi. Maji haya ya DAWASA yakitulia kwenye chombo hutengeneza vumbi la njano na yakifuliwa nguo nyeusi huweka weupe wa chumvi kwenye nguo ikaukapo.

Uchimbaji wa visima unatokana na malalamiko ya kutosikilizwa wnanchi kuhusu ubaya wa maji ya DAWASA MBAGALA CHARAMBE.
 
Back
Top Bottom