PostGE2025 Serikali iifungulie mashtaka CNN kwa uchochezi na kutoa taarifa za uongo

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hao akili ata ya kutamka satellite inawashinda..huyo mtu wakushindana na ushahidi wa satellite atatoka wap kwenye hiyo Serikali ya samia,kama rais mwenyewe ana IQ ndogo hivyo atatoa wap hao watu?
 
Hawa wanaoshindwa kesi na makampuni ya briefcase kwenye mikataba yao mibovu na ufisadi na kuishia kulipa billions, Samia ni boga na akili hana na sijawahi kuona mtu anajiita Dr kwa udaktari aliopewa bure na vyuo fake vya mitandaoni.
 
Naskia kuna activity zinaendelea maeneo hayo ila zile apartments za milki na mlawa zipo karibu wakizoom na iphone kubwa hizi wanaweza ona jambo makaburi yapo karibu pale
 
Hili jamb zito sana, ila namna serikali inajaribu lifanya kama kitu kidogo, kinaenda watokea puani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…