Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Ilichanga milioni 100 pale mlimani City kwa CCM.Bank ya CRDB ina makato ya hovyo na ya ajabu .
Yaani hii benki unaweza kukatwa kila siku elfu 10 bila kujua.
Wanakaa wanakata tu 1500, ukizubaa kidogo wanakata 3000 ukishangaa kidogo wanapita na sh. elfu 2, . Ukicheki statement wanaandika tu imelipwa. Bila kutaja umemlipa nani na kwa malengo yapi.
Hii benki inayojitapa kupata faida za mabilioni kwa mwaka kumbe ni faida za makato ya hovyo.
Haiwezekani waandike tu imelipwa bila kutaja nani kalipwa na kalipwa kwa malengo yapi.
Huu ni utapeli..
Vitu vidogo vidogo kama hivi ndivyo vinapelekea vijana kutokuwa wazalendo kwa Taifa lao.
Mamlaka za udhibiti za Tanzania hazipo kwaajili ya mteja (mlaji)
Wakigundua kampuni au taasisi imedhulumu haki ya mlaji wanaipiga faini ambayo inaingia kwenye mfuko wa mamlaka husika na si kwa mwathirika.
Ndoa ya kikristo haivunjiki au hizi ni story mnazopigiana jamatini?Kwan bank ipo moja au una ndoa nayo ya kikristo kwamba haivunjiki?
Ndio sasa muwe mnakaa na cash au uweke UTT.Benki zina makato ya hovyo sana!
Ni basi tuu, hakuna namna nyingine ya kutunza fedha has ukiwa "corporate".
Kama una hela nyingi benki, huwezi kuona kama makato ni makubwa. Ila ukichukua statement ya miezi miwili, chukua calculator anza kupiga gharama "Transaction costs" za benki, ndio utajua benki wanatengeneza fedha.
Wewe na akil ni chui na pakawameshaipora na kuigeuza islamic sharia bank, hata hiyo wanaenda kuua pia, crdb ilikuwa ni success story ila baada ya kuingiza islamic sharia banking plus nepotism, corruption na incompetency zinazoendana na islam banking, hivyo ni swala la muda inakwenda kufa, so sad ...
Ulikuwa hujui pole sana mi nilihama long time ago njoo EquitBank ya CRDB ina makato ya hovyo na ya ajabu .
Yaani hii benki unaweza kukatwa kila siku elfu 10 bila kujua.
Wanakaa wanakata tu 1500, ukizubaa kidogo wanakata 3000 ukishangaa kidogo wanapita na sh. elfu 2, . Ukicheki statement wanaandika tu imelipwa. Bila kutaja umemlipa nani na kwa malengo yapi.
Hii benki inayojitapa kupata faida za mabilioni kwa mwaka kumbe ni faida za makato ya hovyo.
Haiwezekani waandike tu imelipwa bila kutaja nani kalipwa na kalipwa kwa malengo yapi.
Huu ni utapeli..
Vitu vidogo vidogo kama hivi ndivyo vinapelekea vijana kutokuwa wazalendo kwa Taifa lao.
Mamlaka za udhibiti za Tanzania hazipo kwaajili ya mteja (mlaji)
Wakigundua kampuni au taasisi imedhulumu haki ya mlaji wanaipiga faini ambayo inaingia kwenye mfuko wa mamlaka husika na si kwa mwathirika.
Dah,Yaani hii benki unaweza kukatwa kila siku elfu 10 bila kujua.