Serikali iingilie kati Makanisa ya Miujiza? Watanzania masikini wa kutupwa wanakamuliwa mamilioni kwa utapeli huku wahubiri wakigeuka mamilionea


Wewe na al-shabaab tofauti yake nini?

Tofautisha al-shaabab na Hamas ndiyo maana Russia yuko wazi:



Hamas ni wapigania uhuru wakati wewe al-shaabab ni wafia dini mnaopigwa dongo na Xi.

Waungwana tuko na Hamas, ANC, mau mau, SWAPO nk lakini si al-shaabab Wala ISIS.
 

Kwa kifupi acha unafiki wa kujifanya unaandika nadharia nyingi, jihubirie na uhubirie mazombi yote ya dini yenu yaache kuua watu kisa dini ya muarabu. Siku mtaacha kufuata haya maagizo ndio amani itapatikana...

β€œSlay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
β€œTerrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
β€œMake war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
β€œDo not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 

Biblia haisemi β€˜watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa’ biblia inasema β€˜watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa’.
Kuna tofauti kubwa kati ya KUANGAMIA na KUANGAMIZWA.
Rudi soma tena biblia kwa ufasaha!
 

Nduguzo wamepewa za uso huku ndugu:

Israel na Marekani wapewa za uso UNGA

Hadi chaguo lako kipenzi Gachagua kachagua kuwatelekeza.
 
Na ukiwaelimisha kwamba Mungu hayupo wanakupiga maweπŸ˜…
 
Kwanini usianze na waganga wa kienyeji kama una dhamiri safi.
Sisemi hao matapeli waendelee maana huo ni ujinga na utapeli wanaufanya lakini ili uonekane una wajaki na huna hila ndani yako ilitakiwa uwaunganishe na waganga wa kienyeji maana hawa siyo watumishi wa Mungu ni waganga wanatumia bible.
 
anaehubiri injili ale kupitia injili sasa nini tena.....kuna ule wimbo unaosema toa ndugu toa ndugu ulichonacho .......sasa shida ni nini toeni na wao wale
 
🀣🀣🀣🀣 daah eti tuwachangie ili tubarikiwe
 
Huu ujinga unalelewa na viongozi wengi serikalini wanaogawana mapato na hawa matapeli. Ifike muda wapigwe marufuku wanalete confusion kwenye jamii kwa matamko yao ya nani mchawi ni kama wapiga ramli chonganishi. Ni vigumu kuwakamata kwani wameshapenyeza sehemu zote za utawala kwa ukwasi wa hela waliyonayo
 
Inashangaza serikali inaangalia tu wananchi wana tapeliwa na kudhalikishwa na haya makanisa ya mtu mmoja anae jiita nabii. Ni lazima sheria iwekwe pesa zote za sadaka zihifadhiwe na kurekodiwa matumizi yake ambayo yasivuke mipaka ya tapeli kuzitafuna
 
Makanisa Ya Miujiza Ni Kama Kampuni Za Betting
Serikali Ikilipwa Kodi Basi Unafikiria Watawagusa Hao
Kwanza Viongozi Wetu Wameoza Wananuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…