Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Serikali kupitia Wizara ya Michezo iishawishi TFF iwatoe kifungoni bwana Shaffih Dauda na Haji Manara kwa maslahi ya nchi kwenye upande wa hamasa wa Timu zetu za Taifa.
Pamoja na mapungufu ya wadau hao wa Soka bado ni watu muhimu kwenye uga wa hamasa na kukosea kwao isiwe sababu ya kushindwa kuwasamehe.Kukosea kupo.
Mfano Timu yetu ya Serengeti Queens inayoelekea huko kwenye kombe la Dunia inawahitaji watu kama Dauda na Manara kwa ajili ya hamasa.
DAUDA NA MANARA WASAMEHEWE NA WATAKIWE MARA MOJA WAAMBATANE NA SERENGETI QUEENS HUKO INDIA KWA AJILI YA HAMASA.
Mungu ibariki Tanzania.