Serikali ijenge Mabweni shule za sekondari Kata kusaidia kupunguza ongezeko la vitendo vya ubakaji kwa wanafunzi wa kike na kuwalinda dhidi ya mazingira hatarishi wanayopitia.
Kutokana na umbali uliopo Kati ya shule nyingi za kata na makazi ya watu inapelekea wanafunzi wa kike kukumbana na changamoto za kubakwa na pia kuingia katika mazingira hatarishi na yenye ushawishi mkubwa wa kufanyiwa vitendo vya kikatili. Hii ni kwasababu Kata nyingi zina vijiji vya mbalimbali..
Mfano lilitokea Tukio la mwanafunzi wa Shule ya sekondari Mikindani Mkoani Mtwara kubakwa na vijana Sita akiwa anatoka shuleni anarudi nyumbani ambapo Kuna umbali wa zahidi ya Kilometa 2, na baadae aliwatambua Ila kesi ilimalizwa kienyeji haikufika Mahakamani(Huu ni uvunjwaji mkubwa wa Sheria ya makosa ya Jinai na Sheria ya Mtoto unaondelea kwenye jamii zetu za kitanzania.)
Pia Kuna Shule ya Sekondari Mahiwa iko kata ya Nyangao Mkoani Lindi kutoka makazi ya watu wanakoishi na shule iliko ni zaidi ya Kilometa tatu na katika hizo Kilometa Kuna vichaka na nyasi, Serikali imeanza kujenga shule ya kata, pia ipo umbali na MAKAZI, Wanafunzi inawabidi wapite vichaka na nyasi kufika SHULENI, kwaiyo bado wameeendelea kuwa HATARINI.
HIVYO basi mimi naona Tanzania tuitakayo inaanza na Ustawi bora wa watoto wa kike hasa walio mashuleni kwa Maana Hao ndio wamebeba kizazi cha baadae. Kuna umuhimu mkubwa wa kujenga Mabweni shule za Kata ili kuwasiaidia HASA wanafunzi wa kike;
1. Wasibakwe
2. Wasiingie kwenye vishawishi
3. Kulinda kizazi kijacho kwa Tanzania ya baadae. Kwa Maana sambamba na ilo hapo juu imeibuka Tabia ya
Watoto wa kike kuacha shule kiolela na moja ya sababu ni umbali wa shule za Kata, wazazi wanawaozesha na mwishowe wanapata mimba za utotoni na wengi wao wamekuwa SINGLE MOTHERS wanakosa msaada hawajui hata wanaishije na kutunza vema watoto wao.
Hivyobasi Ujenzi wa Mabweni utawaweka mbali wanafunzi wa kike na mazingira hatarishi kutoka kwenye Familia zao na Jamii kwa ujumla. Na kwa Hakika itawasaidia kuwafanya wawe busy Na masomo na Hatimaye kutimiza ndoto zao.

Upvote
5