Serikali ikichunguze kivuko cha Busisi-Kigongo upande wa Sengerema. Kuna hujuma kwa wavuka kwa miguu

Serikali ikichunguze kivuko cha Busisi-Kigongo upande wa Sengerema. Kuna hujuma kwa wavuka kwa miguu

NUMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2019
Posts
807
Reaction score
1,164
Haiwezekani unapewa risiti halafu kwenye kuscan eti machine haifanyi kazi unaambiwa upitie sehemu ambayo machine haifanyi kazi.

Hii inaweza kuwa hujuma na upotevu wa mapato ya Serikali.

NB:Maendeleo hayana chama
 
Awamu hii ni ya majizi na ma mission town!
 
Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake lakini asivimbiwe
 
we vuka tu hio ni nauli halali. iscan isiscan kila mmoja anakula kaa urefu wa kamba yake
 
Yaani hapo wahuni hawascarn tickets halafu inarudi kuuzwa kwa mwingine tena k’***** [emoji23]
 
Unashangaa busisi ukifika dar ukatumia mwendokasi si ndio utaomba ufungwe. Mkuu wacha wale kwa miaka hii miwili 2024 kutakua na daraja sijui kama watakula tena
 
Kama mama hawezi ku-fake ukali kwny haya yanayotajwa kurejea(kuwa strict) kwanini asitoe uwanja huru kwa waziri mkuu ni kuogopeka il kubalans serikali yake..mawaziri wa zama hizi ni toothless kweli.
 
Serikali inajua kila kitu..wewe vuka nenda zako usipoteze nguvu zako..
Ni zamu yao kula..
Hapana Mkuu inawezekana hawajui kinachoendelea ..ni wajibu wetu kama raia wema kuripoti hujuma hizi
 
Ni kweli leo nimejionea,wanachukua ticket then wanachana,nimeomba wasiichane kwani nauli ya safari yangu inapaswa kurudi wamekataa,Sina kiambatanisho Cha kudai nauli yangu!
 
Ni kweli leo nimejionea,wanachukua ticket then wanachana,nimeomba wasiichane kwani nauli ya safari yangu inapaswa kurudi wamekataa,Sina kiambatanisho Cha kudai nauli yangu!
Sasa hapo machine hazisomi nahisi tunapigwa!!
 
Hapana Mkuu inawezekana hawajui kinachoendelea ..ni wajibu wetu kama raia wema kuripoti hujuma hizi

Wanajua sana pale kuna usalama hawajulikani wanatuma taarifa na pia kuna watu KIbao usalama wanavuka hapo
 
Back
Top Bottom