Nchi wahisani wamekuwa na masharti magumu mno. Mengi ni kuhakikisha tunabaki tulivyo miaka nenda rudi.
Serikali ichukue jukumu la kuendeleza uchumi wetu kulingana na rasilimali tulizonazo.
Hii ya kujivunia kupendwa na wazungu ama kutaka kuonekana uko bega kwà bega ni international bodies tutapotezeana mda.
Mulioko kwenye madaraka ya kuongoza serikali mjitahidi mtumie rasimili tulizo nazo kupata pesa za kuendesha serikali.
Bahati nzuri wananchi wengi wanajitafutia chakula na nahitaji yao wenyewe. Wachache tu ndo walioajiriwa. Ni muda muafaka kufanya mambo kwà mpangilio ili tutoke hapa tulipo.
Bahati mbaya watu waliopitiwa na waharabu siyo viongozi wazuri wanapenda Sana misaada hata kama kuna vitu kwake vya kubadilisha kuwa pesa hawezi kuona lazima atapiga hodi kwa wengine kuomba. Sijui waharabu waliwabadilisha vipi akili zao kuwa tegemezi kila kitu