Serikali ikiendelea kumchekea huyu Mhuni Mchungaji Gwajima yatajirudia yale yaliyotokea wakati wa vita vya majimaji wapiganaji walivyopotoshwa na Kinjikitile eti risasi zitageuka maji ambapo watu walipoteza maisha kwa malaki kwa ujinga wa mtu mmoja.
Hivi majuzi babu wa Loliondo kama Mchungaji Gwajima naye kawaminisha eti kaoteshwa dawa ya kutibu Magonjwa yote Sugu kwa kikombe watu wamemwamini kumbe ni uwongo mtupu matokeo yake watu wakaacha dozi zao ambapo ikapelekea watu kufa kwa maelfu. Ulimwengu mzima likiwemo shirika la afya duniani wakatuona sisi wabongo ni kituko.
Sasa Mchungaji Gwajima , yaani Tanzania haijajifunza na matukio ya nyuma inamlelea lea tu huyu Mhuni GWAJIMA na uhuni wake wa kukejeli chanjo ya COVID-99 hakika nawaambia watanzania watapukutika, serikali iendelee tu kumlealea.