CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,424
Nataka kujua legal procedure!Kama serikali inakataa amri ya mahakama watu wataanza kuchukua sheria mkononi kwa kukosa imani na mahakama. Jamani mumshauri Magufuli kuwa hizi sio zama za mtu mmoja kuongoza mihimili yote
Garnishee orderWanasheria naomba kujua muathirika wa serikali kukataa kutekeleza amri ya mahakama ambapo serikali imeshindwa kesi anaweza kuchukua hatua gani kupata haki yake? Mfano labda inapashwa kukulipa fidia lakini ikakataa kwa kiburi tu.
Kwa faida ya wasomaji, Garnishee order ni nini? (in a nut shell)Garnishee order
Ganishee order inafanyaje kazi? Nimejaribu kutafuta sijapata concrete explanation to clear my doubtGarnishee order
Mahakama inazuia akaunt na Mali za mdaiwa kwa Muda maalumu wakishindwa kutekeleza hukumu dalali anapewa kazi ya kuuza Mali ulipwe deni, au fedha za ac bank inapewa idhini ya kukulipa mdaiGanishee order inafanyaje kazi? Nimejaribu kutafuta sijapata concrete explanation to clear my doubt
Asante nimepata.Mahakama inazuia akaunt na Mali za mdaiwa kwa Muda maalumu wakishindwa kutekeleza hukumu dalali anapewa kazi ya kuuza Mali ulipwe deni, au fedha za ac bank inapewa idhini ya kukulipa mdai
Niliwahi kuandika kuwa Jf was a glorious forum to shop knowledge, but of recent JF has become a forum to wast time when one is tired of working! Hakuna la kujifunza. Too politicized by the moderators . Ni abishano ya akina Faizafoxy and Co. LTD (CCM) and Upinzani. Ukiweka discussion ya kuelimisha mambo ya msingi almost you get nil contributions. Weka ngono, looooo! Watatiririka mpaka page 200+LEO NIMEJIFUNZA JAMBO HUMU THANKS WABO
NIMEZOEA KUONA MATUSI YA LUMUMBAZ... TU NA KUJIFUNZA
HAHAHA ZAMANI JF WAS AMAIZINGNiliwahi kuandika kuwa Jf was a glorious forum to shop knowledge, but of recent JF has become a forum to wast time when one is tired of working! Hakuna la kujifunza. Too politicized by the moderators . Ni abishano ya akina Faizafoxy and Co. LTD (CCM) and Upinzani. Ukiweka discussion ya kuelimisha mambo ya msingi almost you get nil contributions. Weka ngono, looooo! Watatiririka mpaka page 200+
Wanasheria naomba kujua muathirika wa serikali kukataa kutekeleza amri ya mahakama ambapo serikali imeshindwa kesi anaweza kuchukua hatua gani kupata haki yake? Mfano labda inapashwa kukulipa fidia lakini ikakataa kwa kiburi tu.
NIMESEMA KUNA WATU HUMU JF SIJIBIZANI NAO. WEWE NI MMOJA WAO!Kama Serikali imeshindwa basi wewe na Mahakama yako ndiyo mna makosa kwani Serikali yetu iko kwa ajili yetu Watanzania na uamuzi wake ni wetu, hivyo wewe na hakimu wako ndiyo mafisadi na mnapaswa muilipe Serikali!