stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 17,216 Reaction score 26,225 Feb 16, 2019 #1 Hii habari itakuwa ni mwiba kwa wale waliokuwa wanabeza ununuzi wa ndege kubwa ya Boeing 787 Dreamliner,pitia hii link Ndege kubwa zaidi ya abiria duniani kuacha kutengenezwa... Sent using Jamii Forums mobile app
Hii habari itakuwa ni mwiba kwa wale waliokuwa wanabeza ununuzi wa ndege kubwa ya Boeing 787 Dreamliner,pitia hii link Ndege kubwa zaidi ya abiria duniani kuacha kutengenezwa... Sent using Jamii Forums mobile app
Baba Joseph17 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2013 Posts 9,517 Reaction score 9,762 Feb 16, 2019 #2 Vijana mnaokuja na taarifa za Utube we Boeing unhifahamu kiuhalisia au kibiashara? stephot said: Hii ni habari itakuwa ni mwiba kwa wale waliokuwa wanabeza ununuzi wa ndege kubwa ya Boeing 787 Dreamliner,pitia hii link Ndege kubwa zaidi ya abiria duniani kuacha kutengenezwa... Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Vijana mnaokuja na taarifa za Utube we Boeing unhifahamu kiuhalisia au kibiashara? stephot said: Hii ni habari itakuwa ni mwiba kwa wale waliokuwa wanabeza ununuzi wa ndege kubwa ya Boeing 787 Dreamliner,pitia hii link Ndege kubwa zaidi ya abiria duniani kuacha kutengenezwa... Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
F FROWIN JF-Expert Member Joined Jul 25, 2012 Posts 213 Reaction score 84 Feb 16, 2019 #3 Yani Mzee wa nchi aamue kununua ndege ,halafu watu mpoteze muda kujadili uhalali wake ,duuuu hii Kali . Sent using Jamii Forums mobile app
Yani Mzee wa nchi aamue kununua ndege ,halafu watu mpoteze muda kujadili uhalali wake ,duuuu hii Kali . Sent using Jamii Forums mobile app