Serikali ilete sera maalumu kusaidia single mothers maana kwa hali ilivyo tunaelekea pabaya kama taifa

Serikali ilete sera maalumu kusaidia single mothers maana kwa hali ilivyo tunaelekea pabaya kama taifa

Championship

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2019
Posts
5,500
Reaction score
10,616
Naomba serikali iangalie namna nzuri ya kusaidia taifa katika hii hali inayozidi kulikumba taifa. Hawa wanawake wanateseka sana na wanakuwa cheap na matokeo yake wanazidi kunyanyasika.

Ikiwezekana hata kwa kuanzisha kampeni maalumu kuwahimiza wanaume wawaoe hawa akina mama waliozaa nao. Iwe endelevu mpaka tupate muitikio mzuri katika jamii.

Nchi ya Singapore inafanya vizuri katika hili eneo. Wanafahamu idadi yao na wanayo mikakati ya kuwasaidia kwa ajili ya kuhakikisha jamii salama.

SINGAPORE - The number of children born to single unwed mothers has averaged around 830 per year in the last five years, with the numbers coming down since 2013, said Minister of State for Social and Family Development Sun Xueling.
 
Hakuna wanadamu wasumbufu kama single mothers. kwenu ninyi ambao hamjajichanganya na kuzaa na mtu ambaye hautaishi naye kama mke, nawashauri msijekufanya hilo kosa. ni boriti ndani ya jicho maisha yako yote.visirani, na ni mwiba kwa ndoa.
 
Single mothers wengi ni viburi,hawajitambui, wajuaji,hakuna mwanaume asiyependa kuishi na mzazi mwenzie,waache ujinga
 
hakuna wanadamu wasumbufu kama single mothers. kwenu ninyi ambao hamjajichanganya na kuzaa na mtu ambaye hautaishi naye kama mke, nawashauri msijekufanya hilo kosa. ni boriti ndani ya jicho maisha yako yote.visirani, na ni mwiba kwa ndoa.
Mkuu uliamua kuzaa naye tu au ni mlishindwana?
 
Back
Top Bottom