Elections 2010 Serikali ilichakachua ushauri wa Jaji Mkuu.....

Elections 2010 Serikali ilichakachua ushauri wa Jaji Mkuu.....

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,468
Reaction score
911,184
Gazeti la mwananchi la leo linatupasha habari ya kuwa ushauri wa jaji Mkuu ambaye sasa ni mstaafu juu ya haki ya kuhoji Mahakama Kuu kuhusu matokeo ya kura ya uraisi yaliyotangazwa na NEC ilichakachuliwa na serikali............................

Kwa mtazamo wangu...........................

Swali ninalojiuliza ni kwa nini hizi hoja zinajitokeza sasa wakati jaji Mkuu mwenyewe kesha kustaafu na Chadema na Dr. Slaa wao kuingizwa mkenge juu ya katiba kuwazuia kuhoji matokeo ya Uraisi tafsiri ya mtaani ambayo haina mashiko ya kisheria ..............
 
Hata wakihoji hamna kitu hapo hii ndo tanganyika bwana ruta
 
Back
Top Bottom