DOKEZO Serikali iliilipa Symbion Power TZS 358,575,739,422 mwaka 2021/22 Mitambo yao ikawa mali ya Tanzania rasmi

DOKEZO Serikali iliilipa Symbion Power TZS 358,575,739,422 mwaka 2021/22 Mitambo yao ikawa mali ya Tanzania rasmi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Wakuu,

Mchakato huu hauna harufu ya ufisadi ndani yake? Nini maoni yako?

Ikumbukwe, Symbion Power iliondoka TZ ikiwa na deni la waliokuwa wafanyakazi wake lenye thamani ya TZS Bilioni 12 na Mahakama ikawa imeamuru mitambo yake ipigwe mnada.

Screenshot 2023-02-03 at 08.36.16.png

Page 1.jpg

page 2.jpg

Na huenda ndio chanzo cha huo “unafuu wa umeme” anaosema Bwana Maharage Chande.

C60D0131-4B9F-4816-A5D5-376B7EFA586E.jpeg
 
Aisee ni May 2021 baada ya .......................................

Kwa hiyo unazalisha umeme? Mbona nliona pale majani yameota kama hapafanyi KAZI.

Naomba kusahihishwa kama bado pako active na kuzalisha. Wa maeneo ya Ubungo tujuzeni maana pakiwa na uzalishaji lazima utasikia Mitambo vinu vikipiga Kazu kwa sauti kubwa tu kama ilivyokuwa enzi zile.
 
Nchi inaliwa na wenye meno, vibogoyo watasubiri sana.
 
Aisee ni May 2021 baada ya ....................................... Kwa hiyo unazalisha umeme? Mbona nliona pale majani yameota kama hapafanyi KAZI. Naomba kusahihishwa kama bado pako active na kuzalisha. Wa maeneo ya ubungo tujuzeni maana pakiwa na uzalishaji lazima utasikia Mitambo vinu vikipiga Kazu kwa sauti kubwa tu kama ilivyokuwa enzi zile.
Soma document zote hiyo ya chini mwisho mitambo ya Symbion wameinyofoa na kuipeleka kuwa sehemu ya Kinyerezi 1 extension.

Hizo tarehe za makubaliano ndio zile siku ambazo mwamba katangazwa kuzima ata Samia ajaapishwa bado.

Hii nchi kuna genge la watu wanataka kuifanya ng’ombe wao wa kukamua hela.
 
Jamaa anakusanya pesa ya kugombea urais, hapo kwenye dili kawakilishwa na Mkurugenzi ambacho ni kivuli chake

Kipara.jpeg
 
Jamaa anakusanya pesa ya kugombea uraisi, hapo kwenye dili kawakilishwa na Mkurugenzi ambacho ni kivuli chake
Dili la Kalemani, katibu mkuu wa wizara kipindi hiko, mwanasheria mkuu na Dotto James. Ata serikali mpya ilikuwa aijaanza kazi rasmi.
 
Acha kuangalia hizo tarehe za malipo soma kuanzia (v) kuona tarehe za makubaliano kumaliza mgogoro na Symbion ni 14 March 2021 hapo ndipo deal lilipopigwa.

Sasa nani alikuwa waziri na katibu mkuu nishati kipindi hiko.
 
Aisee ni May 2021 baada ya .......................................

Kwa hiyo unazalisha umeme? Mbona nliona pale majani yameota kama hapafanyi KAZI.

Naomba kusahihishwa kama bado pako active na kuzalisha. Wa maeneo ya Ubungo tujuzeni maana pakiwa na uzalishaji lazima utasikia Mitambo vinu vikipiga Kazu kwa sauti kubwa tu kama ilivyokuwa enzi zile.
Kwa nin serikali isinunue mitambo yake mipya mbona hizo hela ni nyingi sana
 
May 2021 serikali mpya haijaanza kazi?
Soma attachment ya 3 kuanzia point (v) hapo ndio kwenye tarehe za maelewano kati ya wizara na Symbion dated 14, 15, 22 na 28 March 2021.

Hizo tarehe zingine ni za utekelezaji tu wa malipo na kuamisha mitambo kwa maamuzi ambayo yashafanyika kumaliza mgogoro mwezi March 2021.
 
Naam nimesoma.

Sasa watu wahojiwe ushiriki wao na kama negotiatoon team ya Taifa ilihusika
 
Ndio maana kumbe Bunge lilitoa azimio Bunge la Novemba 2022 kuwa wote waliohusika katika mchakato wa uingiaji mkataba, uvunjaji na ulipaji wa fedha hizo wachukuliwe hatua
 
Symbion walikuwa pia wamefungua kesi yenye kudai fidia kubwa tu. Labda malipo yalikuwa kumalizana nao kimya kimya.
 
Symbion walikuwa pia wamefungua kesi yenye kudai fidia kubwa tu. Labda malipo yalikuwa kumalizana nao kimya kimya.
Ndio maana wabunge walitaka uchunguzi ufanyike ili hayo yote yabainishwe
 
Wakuu,

Mchakato huu hauna harufu ya ufisadi ndani yake? Nini maoni yako?

Ikumbukwe, Symbion Power iliondoka TZ ikiwa na deni la waliokuwa wafanyakazi wake lenye thamani ya TZS Bilioni 12 na Mahakama ikawa imeamuru mitambo yake ipigwe mnada.

View attachment 2504534
View attachment 2504525
View attachment 2504536

Na huenda ndio chanzo cha huo “unafuu wa umeme” anaosema Bwana Maharage Chande.

View attachment 2504546

Hizo tarifa mbona ni kama zilisubiri mambo yafanyike yote halafu zichapishwe kwa siku moja na wakati kuna tarifa za 2021, na 2022?

Kazi iliyoanza kufanywa mwaka mmoja nyuma tarifa zake zije kuwa combain na za mwaka mmoja mbele?

Isije kuwa kuna watuu wanajisafisha
 
Wakuu,

Mchakato huu hauna harufu ya ufisadi ndani yake? Nini maoni yako?

Ikumbukwe, Symbion Power iliondoka TZ ikiwa na deni la waliokuwa wafanyakazi wake lenye thamani ya TZS Bilioni 12 na Mahakama ikawa imeamuru mitambo yake ipigwe mnada.

View attachment 2504534
View attachment 2504525
View attachment 2504536

Na huenda ndio chanzo cha huo “unafuu wa umeme” anaosema Bwana Maharage Chande.

View attachment 2504546
Ukisikia uzalendo sasa ndio huu!.
Na baada ya uzalendo kama huu, kama mtu ulikuwa na vile vi dhambi vidogo vidogo vya kujirudia rudia, baada ya uzalendo kama huu, vinafutwa!.

P
 
Back
Top Bottom