A
Soma document zote hiyo ya chini mwisho mitambo ya Symbion wameinyofoa na kuipeleka kuwa sehemu ya Kinyerezi 1 extension.Aisee ni May 2021 baada ya ....................................... Kwa hiyo unazalisha umeme? Mbona nliona pale majani yameota kama hapafanyi KAZI. Naomba kusahihishwa kama bado pako active na kuzalisha. Wa maeneo ya ubungo tujuzeni maana pakiwa na uzalishaji lazima utasikia Mitambo vinu vikipiga Kazu kwa sauti kubwa tu kama ilivyokuwa enzi zile.
Dili la Kalemani, katibu mkuu wa wizara kipindi hiko, mwanasheria mkuu na Dotto James. Ata serikali mpya ilikuwa aijaanza kazi rasmi.Jamaa anakusanya pesa ya kugombea uraisi, hapo kwenye dili kawakilishwa na Mkurugenzi ambacho ni kivuli chake
NonsenseDili la Kalemani, katibu mkuu wa wizara kipindi hiko na Dotto James. Ata serikali mpya ilikuwa aijaanza kazi rasmi.
Acha kuangalia hizo tarehe za malipo soma kuanzia (v) kuona tarehe za makubaliano kumaliza mgogoro na Symbion ni 14 March 2021 hapo ndipo deal lilipopigwa.Nonsense
Kwa nin serikali isinunue mitambo yake mipya mbona hizo hela ni nyingi sanaAisee ni May 2021 baada ya .......................................
Kwa hiyo unazalisha umeme? Mbona nliona pale majani yameota kama hapafanyi KAZI.
Naomba kusahihishwa kama bado pako active na kuzalisha. Wa maeneo ya Ubungo tujuzeni maana pakiwa na uzalishaji lazima utasikia Mitambo vinu vikipiga Kazu kwa sauti kubwa tu kama ilivyokuwa enzi zile.
May 2021 serikali mpya haijaanza kazi?Dili la Kalemani, katibu mkuu wa wizara kipindi hiko, mwanasheria mkuu na Dotto James. Ata serikali mpya ilikuwa aijaanza kazi rasmi.
Soma attachment ya 3 kuanzia point (v) hapo ndio kwenye tarehe za maelewano kati ya wizara na Symbion dated 14, 15, 22 na 28 March 2021.May 2021 serikali mpya haijaanza kazi?
Naam nimesoma.Soma attachment ya 3 kuanzia point (v) hapo ndio kwenye tarehe za maelewano kati ya wizara na Symbion dated 14, 15, 22 na 28 March 2021.
Hizo tarehe zingine ni za utekelezaji tu wa malipo na kuamisha mitambo kwa maamuzi ambayo yashafanyika kumaliza mgogoro mwezi March 2021.
Ndio maana wabunge walitaka uchunguzi ufanyike ili hayo yote yabainishweSymbion walikuwa pia wamefungua kesi yenye kudai fidia kubwa tu. Labda malipo yalikuwa kumalizana nao kimya kimya.
Wakuu,
Mchakato huu hauna harufu ya ufisadi ndani yake? Nini maoni yako?
Ikumbukwe, Symbion Power iliondoka TZ ikiwa na deni la waliokuwa wafanyakazi wake lenye thamani ya TZS Bilioni 12 na Mahakama ikawa imeamuru mitambo yake ipigwe mnada.
View attachment 2504534
View attachment 2504525
View attachment 2504536
Na huenda ndio chanzo cha huo “unafuu wa umeme” anaosema Bwana Maharage Chande.
View attachment 2504546
Ukisikia uzalendo sasa ndio huu!.Wakuu,
Mchakato huu hauna harufu ya ufisadi ndani yake? Nini maoni yako?
Ikumbukwe, Symbion Power iliondoka TZ ikiwa na deni la waliokuwa wafanyakazi wake lenye thamani ya TZS Bilioni 12 na Mahakama ikawa imeamuru mitambo yake ipigwe mnada.
View attachment 2504534
View attachment 2504525
View attachment 2504536
Na huenda ndio chanzo cha huo “unafuu wa umeme” anaosema Bwana Maharage Chande.
View attachment 2504546