Serikali ilikua sahihi kuhamisha Wamaasai

Serikali ilikua sahihi kuhamisha Wamaasai

Rashda Zunde

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2022
Posts
204
Reaction score
231
Mahakama ya Afrika Mashariki imesema uamuzi iliyochukuliwa na serikali ya Tanzania wa kuzingira ardhi kwa ajili ya ulinzi wa wanyamapori na kuwaondoa Wamasai ulikua wa kisheria.

Dhumuni la serikali ni kulinda eneo la hifadhi lenye kilomita za mraba 1,500 ili kuepuka shughuli za binadamu uamuzi uliopokelewa tofauti na baadhi ya mashiriki ya haki za binadamu.

Aidha, Mahakama imesema, Wamasai pamoja na mashiriki ya haki za binadamu wameshindwa kudhibitisha kuhusu vurugu walizodai zimetokea, hivyo ushaidi wa madai ya vurugu na ukatili ulikuwa ni uvumi.
 
Kulikuwa na haja gani kupiga watu risasi Kuua na kujeruhi watu?

Kwanini wasingehamishwa pole pole angalau Ili wajisikie na wao binadamu.

Shida sio kuwaondoa Ila shida ilikuwa ni nguvu iliyotumika ilikuwa sio sawa kwa binadamu wenzetu.!!
 
Nani
Kulikuwa na haja gani kupiga watu risasi Kuua na kujeruhi watu?

Kwanini wasingehamishwa pole pole angalau Ili wajisikie na wao binadamu.

Shida sio kuwaondoa Ila shida ilikuwa ni nguvu iliyotumika ilikuwa sio sawa kwa binadamu wenzetu.!
Kulikuwa na haja gani kupiga watu risasi Kuua na kujeruhi watu?

Kwanini wasingehamishwa pole pole angalau Ili wajisikie na wao binadamu.

Shida sio kuwaondoa Ila shida ilikuwa ni nguvu iliyotumika ilikuwa sio sawa kwa binadamu wenzetu.!!
Nani kapigwa?
 
"madai ya vurugu na ukatili ulikua ni uvumi" dah!
Kweli njaa ni mbaya sana.
OP tafuta kazi ufanye
 
Back
Top Bottom