Serikali ilisema inakata tshs 1000 tu kwa nyumba za kawaida wamekata tshs 2000

2000 imeenda, ulinunua chini ya 2000 haikubali.
Huyu bibi
 
 

Attachments

  • 2850007_220078589_1690389091165713_5262137292318157038_n.mp4
    2.2 MB
Watanzania wanapenda sana kulalamika yani hivo 1,000 au 2,000 ni ya kulalamikia sana sasa au....
 
Kinachokera yaani ili makato tu haya yarekebishwe inaweza kukuchukua gharama na usumbufu wa ajabu. Halafu uje kusikia Kuna wahuni wanapiga hizi helaa daa tuyaache tu hamna namna
Kupiga lazima wapige unazani wanademka bure? awapi!
 
Inabidi itimie 12,000 kabla mwaka haujaisha na imebaki miezi 4 tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Duu nchi imekuwa chachu kweli na maisha yanazidi kuwa machungu
 
Yaani wameshindwa kuwafuatilia wenye nyumba wameamua kuwafuata wanyonge wapangaji, na nyumba nyingine kila chumba kina jitegemea Lulu daa! Mwaka huu mmmm
 
Mbona kila kitu mnamtaja mama. Mama ni kiongozi mzuri. Anasikiliza na anakubali ushauri wa wataalamu. Walalamikieni wabunge wenu mliowachagua ambao ni wawakilishi wenu. Waambieni na wao wakatwe kodi.
pamoja na hayo mama hasimami kwenye nafasi yake vzuri, nini maana ya kuwa na rais?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…