Labda kama wameamua kuanza na Mwaka wa Fedha mbao kimsingi huanzia Mwezi Julai (July 2021-June 2022).Jamani tupate mrejesho kwa walionunua umeme mmekatwa ngapi? Tozo za Kodi ya nyumba jamani tuliambiwa Ni tshs 1000 Sasa nimekatwa tshs 2000 naambiwa Ni debt collected. Naona kazi imeanza, kwa staili hii unaweza katwa tena hivi shida Ni nini serikali yetuu...Zamani nilikuwa nawaombea Sana viongozi lkn from now naanza kuombea watu wanyonge tuu hawa viongozi siwaelewi yaan.
Mwaka wa bajeti umeanza mwezi wa saba jomba. So wamechukua den laoHii serikali imeshakua ya kihuni aisee wamekula buku mbili badala ya buku dadadeki View attachment 1900508
Hatumshushi siyo iwe jua iwe mvua tumempenda wenyeweMama tunae hadi 2030
Kwa mwezi huu wa Agosti wanakata 1000 ya mwezi huu na deni la 1000 kwa mwezi Julai, jumla 2000. Hii ni kwa sababu bajeti mpya ya serikali ilianza Julai. Kuanzia mwezi September utakuwa unakatwa 1000 tu. Ni mango mzuri. Umepunguza usumbufu.Jamani tupate mrejesho kwa walionunua umeme mmekatwa ngapi? Tozo za Kodi ya nyumba jamani tuliambiwa Ni tshs 1000 Sasa nimekatwa tshs 2000 naambiwa Ni debt collected. Naona kazi imeanza, kwa staili hii unaweza katwa tena hivi shida Ni nini serikali yetuu...Zamani nilikuwa nawaombea Sana viongozi lkn from now naanza kuombea watu wanyonge tuu hawa viongozi siwaelewi yaan.
Kilichokuwa kinajulikana ni TZS 10000 @ mwaka sasa wameangeza hadi 12000. Hapo ndo nami sijui kilichofanyika labda tumuulize rais Mana mwigulu ana majibu ya kejeli.Jamani tupate mrejesho kwa walionunua umeme mmekatwa ngapi? Tozo za Kodi ya nyumba jamani tuliambiwa Ni tshs 1000 Sasa nimekatwa tshs 2000 naambiwa Ni debt collected. Naona kazi imeanza, kwa staili hii unaweza katwa tena hivi shida Ni nini serikali yetuu...Zamani nilikuwa nawaombea Sana viongozi lkn from now naanza kuombea watu wanyonge tuu hawa viongozi siwaelewi yaan.
anatanua na mahusianoTulieni mama enu mdogo anatanua uchumi.