Serikali ilitakiwa kutumia busara kwenye operation ya kimila ya kupambana na wachawi Rukwa

Serikali ilitakiwa kutumia busara kwenye operation ya kimila ya kupambana na wachawi Rukwa

Kishimbe wa Kishimbe

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
5,566
Reaction score
5,477
Serikali ya Tanzania haina dini, lakini, baada ya kufuatilia hili Sakata la Lambalamba, nimebaini kuwa Watanzania wana dini zao na wengi sana wanafuata dini zao za kimila!

Chonde chonde, ni hatari sana kukabili masuala ya imani za watu kinguvunguvu bila kuzama kukaa na waumini husika na kuwaelewa na kuwaelimisha polepole bila kuonyesha dharau!

Sisemi kuwa OCS wa Kabwe alikosea kukabiliana na operation ya kimila ya kupambana na wachawi, aka Lambalamba, ila ilitakiwa busara zaidi na upole katika kulitatua hilo tatizo!

Video hapa chini inaongea mengi kwa niaba yangu!

 
Inafikirisha sana!
Wanasiasa wote! Wafanyabiashara wote! Viongozi wa dini na waumini wao! Maofisini, michezoni, safarini n.k zile imani zinazopigwa vita hadharani ndizo zimetamalaki!
 
Back
Top Bottom