Serikali ilitangaze Dodoma kuwa jiji hatari kwa usalama wa Raia

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Wewe mwenye duka hapo area...( ) , kama ni kweli un(a)(li)(ta)zulumu uhai wa wengine, amini kwamba damu ya mtu asiye na hatia hunuka. Hata usipoisikia harufu yake, uzao wako itawanukia. Tena harufu mbaya hadi iwakoseshe amani nafsini mwao.
 
Baada ya tukio la kuuwawa kwa watafiti tena kwa kuchomwa moto wao na gari lao mali ya chuo kikuu tulianza kuhisi watu wa Dodoma sio watu waungwana

Mauaji ya mwanamziki Mandojo, ulawiti na ubakaji, wizi kila mtaa. Sasa ni dhahiri Dodoma imeipiku Mbeya na Geita kwa matukio hatarishi.

Haipiti wiki bila kupata taarifa mbaya kutokea Dodoma

USSR

Pia soma
Baada ya watu kuona vyombo vya dola ndio vinaongoza kwa kuteka na kufanya mauaji kwa wapinzani wa ccm, na wao wanatembelea humohumo.
 
Baada ya tukio la kuuwawa kwa watafiti tena kwa kuchomwa moto wao na gari lao mali ya chuo kikuu tulianza kuhisi watu wa Dodoma sio watu waungwana

Mauaji ya mwanamziki Mandojo, ulawiti na ubakaji, wizi kila mtaa. Sasa ni dhahiri Dodoma imeipiku Mbeya na Geita kwa matukio hatarishi.

Haipiti wiki bila kupata taarifa mbaya kutokea Dodoma

USSR

Pia soma
Wilaya ya chemba ndio inaongoza kwa mauaji hata hao watafiti waliuawa wilaya ya chemba...huko kumejaa ushirikina kupindukia
 
Baada ya tukio la kuuwawa kwa watafiti tena kwa kuchomwa moto wao na gari lao mali ya chuo kikuu tulianza kuhisi watu wa Dodoma sio watu waungwana

Mauaji ya mwanamziki Mandojo, ulawiti na ubakaji, wizi kila mtaa. Sasa ni dhahiri Dodoma imeipiku Mbeya na Geita kwa matukio hatarishi.

Haipiti wiki bila kupata taarifa mbaya kutokea Dodoma

USSR

Pia soma
Wezi wanatokea Dar es salaam.
 
Sauti moya ya nguvu kutoka kwa jemedari JPM, ilisambaratisha magaidi mkiru

Mh.Rais Samia, tunakuamini mtumishi wa Mungu na Jemedari wetu, Sema neno na nchi itapona

Naamini kwa neno lako moja, utekaji na mauwaji yatakoma
 
Back
Top Bottom