Baada ya watu kuona vyombo vya dola ndio vinaongoza kwa kuteka na kufanya mauaji kwa wapinzani wa ccm, na wao wanatembelea humohumo.Baada ya tukio la kuuwawa kwa watafiti tena kwa kuchomwa moto wao na gari lao mali ya chuo kikuu tulianza kuhisi watu wa Dodoma sio watu waungwana
Mauaji ya mwanamziki Mandojo, ulawiti na ubakaji, wizi kila mtaa. Sasa ni dhahiri Dodoma imeipiku Mbeya na Geita kwa matukio hatarishi.
Haipiti wiki bila kupata taarifa mbaya kutokea Dodoma
USSR
Pia soma
Wilaya ya chemba ndio inaongoza kwa mauaji hata hao watafiti waliuawa wilaya ya chemba...huko kumejaa ushirikina kupindukiaBaada ya tukio la kuuwawa kwa watafiti tena kwa kuchomwa moto wao na gari lao mali ya chuo kikuu tulianza kuhisi watu wa Dodoma sio watu waungwana
Mauaji ya mwanamziki Mandojo, ulawiti na ubakaji, wizi kila mtaa. Sasa ni dhahiri Dodoma imeipiku Mbeya na Geita kwa matukio hatarishi.
Haipiti wiki bila kupata taarifa mbaya kutokea Dodoma
USSR
Pia soma
Wezi wanatokea Dar es salaam.Baada ya tukio la kuuwawa kwa watafiti tena kwa kuchomwa moto wao na gari lao mali ya chuo kikuu tulianza kuhisi watu wa Dodoma sio watu waungwana