Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Walichofanya Yanga ni sahihi kabisa.Yanga hatuchezi saa 1.
Rais akitoa maagizo kwa waziri katika vikao vyake, kazi ya waziri ni kutekeleza kwa kushusha maagizo chini, sio lazima hadi rais aonyeshe ushahidi kwamba alimwagiza waziriSerikali kwakuwa nyie ndio mmetajwa katika taarifa ya TFF kuwa mmeagiza mechi ya Simba na Yanga isogezwe mbele mpaka saa 1:00 na si saa 11:00 kama ilivyokuwa imepangwa, ni bora mkaweka wazi agizo hilo
Soka sio siasa.Rais akitoa maagizo kwa waziri katika vikao vyake, kazi ya waziri ni kutekeleza kwa kushusha maagizo chini, sio lazima hadi rais aonyeshe ushahidi kwamba alimwagiza waziri
Hakuna kitu kinachokwepa siasa. Hata nchi kuwa mwenyeji wa FIFA World Cup au AFCON and the like, lazima ipate baraka za kisiasa, maana kuna maandalizi makubwa lazima yafanyike. Ujenzi wa uwanja wa Mkapa ni utashi wa kisiasa, na hata ujio wa timu ya taifa ya Brazil, ni utashi wa kisiasaSoka sio siasa.
It is true politics is about everything, but everything is not politics and treating everything politically, amount to make everything a failure.Hakuna kitu kinachokwepa siasa. Hata nchi kuwa mwenyeji wa FIFA World Cup au AFCON and the like, lazima ipate baraka za kisiasa, maana kuna maandalizi makubwa lazima yafanyike. Ujenzi wa uwanja wa Mkapa na utashi wa kisiasa, na hata ujio wa timu ya taifa ya Brazil, ni utashi wa kisiasa
Mganga wetu kasema tukicheza saa moja tutafungwa 5:0Utopolo Bwana! Sasa wanaogopa nini?
duuh Sasa Rais atakuwa ni wa kufukuza fukuza kila kitu? hata mtu akinya barabarani afukuzwe na RaisSerikali kwakuwa nyie ndio mmetajwa katika taarifa ya TFF kuwa mmeagiza mechi ya Simba na Yanga isogezwe mbele mpaka saa 1:00 usiku badala ya kuanza saa 11:00 jioni kama ilivyokuwa imepangwa awali, ni vema mkatoa maelezo kwa umma ili msije kuwaruka TFF ingawa nao hawakuwa makini kupokea maagizo hayo.
Na Raisi Samia kama agizo hili halina baraka zako, fukuza wahusika, na kama lina baraka zao, basi na wewe uombe radhi kwa niaba ya serikali yako.
Wasanii hawa asse.Halafu mbona mechi ya Azam na Yanga ilisogezwa muda wa kuanza na Yanga mbona hamkugomea? taarifa ile nayo ilitolewa muda mchache kabla ya muda wa mechi kuanza
Hapa tatizo ni mm ya maHalafu mbona mechi ya Azam na Yanga ilisogezwa muda wa kuanza na Yanga mbona hamkugomea? taarifa ile nayo ilitolewa muda mchache kabla ya muda wa mechi kuanza
Kivipi mkuu?Hapa tatizo ni mm ya maView attachment 1777673