A
Serikali yetu ya ccm haiwajali wakulima hata kidogo.Hello Fichua Uovu , Mimi ni Mkulima wa Parachichi Mkoani Njombe, Serikali ilitumia nguvu sana kutuhamashisha kulima zao la parachichi kwa kutuonyesha faida yake kwa Mkulima, lakini kwa sasa hali haipo hivyo.
Watu wengi tumeingia kwenye kilimo cha parachichi na kutumia gharama kubwa kuhudumia mashamba yetu lakini wakati wa kuuza bei imekuwa chini sana sababu.
1. Madalali wamekiwa wengi ambao hawataki kununua matunda ya grade 1 kwa Bei ya grade 1, yaani wananunua fresh avocado kwa Bei ya reject (grade 2).
Bei ya grade 1 ni 1700-2200 per kg, na Bei ya grade 2 au reject ni 450-600 per kg.
Mkulima anapata hasara ya 1250-1600 kwa kg.
2. Serikali imeacha kusimamia maslahi ya wakulima ambao waliambiwa waingie kwenye kilimo cha parachichi kuna faida, sababu viongozi wenye mamlaka wameingia kwenye biashara ya kununua direct au wafanyabiashara / Madalali wenye viwanda vya kukamua mafuta wamewafumba mdomo, hakuna udhibiti wowote kwa sasa, Wakulima tunaumia sana hakuna wa kututetea.
3. Madalali na wafanyabiashara wameungana na serikali (viongozi waliopewa dhamana) kumnyonya Mkulima, ukikataa kuuza kwa Bei ya fresh (grade 1) wanakuacha yaharibikie shambani.
PARACHICHI NYINGI ZINAZOCHUMWA LUPEMBE, MFRIGA 80% NI GRADE 1 ILA ZIMEUZWA KAMA REJECT ZIMEPAKIWA KWENYE MIFUKO.
TAHA, AMCOS zinaweza kuwa suluhisho. Wakulima wanaweza kuungana kutafuta masoko nje; na uzuri ni kwamba ATCL cargo ipo kwaajili ya kusafirisha bidhaa kama hizo moja kwa moja kwenye masoko husikaImeshindikana kabisa kumdhibiti dalali asimuumize mkulima? Maana kilio cha mkulima akifikisha zao sokoni ni dalali kuamua bei.
AiseeHello Fichua Uovu , Mimi ni Mkulima wa Parachichi Mkoani Njombe, Serikali ilitumia nguvu sana kutuhamashisha kulima zao la parachichi kwa kutuonyesha faida yake kwa Mkulima, lakini kwa sasa hali haipo hivyo.
PARACHICHI NYINGI ZINAZOCHUMWA LUPEMBE, MFRIGA 80% NI GRADE 1 ILA ZIMEUZWA KAMA REJECT ZIMEPAKIWA KWENYE MIFUKO.
Wazo zuriTAHA, AMCOS zinaweza kuwa suluhisho. Wakulima wanaweza kuungana kutafuta masoko nje; na uzuri ni kwamba ATCL cargo ipo kwaajili ya kusafirisha bidhaa kama hizo moja kwa moja kwenye masoko husika
Ni kichaa pekee Ambaye anaweza kuiamini serikali ya ccm. Hii serikali ya ccm hakuna jambo wanaongea Huku wakimaanisha Huwa nyuma ya pazia Wana ajenda zao za Siri.Hello Fichua Uovu , Mimi ni Mkulima wa Parachichi Mkoani Njombe, Serikali ilitumia nguvu sana kutuhamashisha kulima zao la parachichi kwa kutuonyesha faida yake kwa Mkulima, lakini kwa sasa hali haipo hivyo.
Watu wengi tumeingia kwenye kilimo cha parachichi na kutumia gharama kubwa kuhudumia mashamba yetu lakini wakati wa kuuza bei imekuwa chini sana sababu.
1. Madalali wamekiwa wengi ambao hawataki kununua matunda ya grade 1 kwa Bei ya grade 1, yaani wananunua fresh avocado kwa Bei ya reject (grade 2).
Bei ya grade 1 ni 1700-2200 per kg, na Bei ya grade 2 au reject ni 450-600 per kg.
Mkulima anapata hasara ya 1250-1600 kwa kg.
2. Serikali imeacha kusimamia maslahi ya wakulima ambao waliambiwa waingie kwenye kilimo cha parachichi kuna faida, sababu viongozi wenye mamlaka wameingia kwenye biashara ya kununua direct au wafanyabiashara / Madalali wenye viwanda vya kukamua mafuta wamewafumba mdomo, hakuna udhibiti wowote kwa sasa, Wakulima tunaumia sana hakuna wa kututetea.
3. Madalali na wafanyabiashara wameungana na serikali (viongozi waliopewa dhamana) kumnyonya Mkulima, ukikataa kuuza kwa Bei ya fresh (grade 1) wanakuacha yaharibikie shambani.
PARACHICHI NYINGI ZINAZOCHUMWA LUPEMBE, MFRIGA 80% NI GRADE 1 ILA ZIMEUZWA KAMA REJECT ZIMEPAKIWA KWENYE MIFUKO.
Ni sawa na kilimo cha ngano ya Ukraine. Njombe tulipigwa pia.Hello Fichua Uovu , Mimi ni Mkulima wa Parachichi Mkoani Njombe, Serikali ilitumia nguvu sana kutuhamashisha kulima zao la parachichi kwa kutuonyesha faida yake kwa Mkulima, lakini kwa sasa hali haipo hivyo.
Watu wengi tumeingia kwenye kilimo cha parachichi na kutumia gharama kubwa kuhudumia mashamba yetu lakini wakati wa kuuza bei imekuwa chini sana sababu.
1. Madalali wamekiwa wengi ambao hawataki kununua matunda ya grade 1 kwa Bei ya grade 1, yaani wananunua fresh avocado kwa Bei ya reject (grade 2).
Bei ya grade 1 ni 1700-2200 per kg, na Bei ya grade 2 au reject ni 450-600 per kg.
Mkulima anapata hasara ya 1250-1600 kwa kg.
2. Serikali imeacha kusimamia maslahi ya wakulima ambao waliambiwa waingie kwenye kilimo cha parachichi kuna faida, sababu viongozi wenye mamlaka wameingia kwenye biashara ya kununua direct au wafanyabiashara / Madalali wenye viwanda vya kukamua mafuta wamewafumba mdomo, hakuna udhibiti wowote kwa sasa, Wakulima tunaumia sana hakuna wa kututetea.
3. Madalali na wafanyabiashara wameungana na serikali (viongozi waliopewa dhamana) kumnyonya Mkulima, ukikataa kuuza kwa Bei ya fresh (grade 1) wanakuacha yaharibikie shambani.
PARACHICHI NYINGI ZINAZOCHUMWA LUPEMBE, MFRIGA 80% NI GRADE 1 ILA ZIMEUZWA KAMA REJECT ZIMEPAKIWA KWENYE MIFUKO.
Sirikali ya masisiemu ni WAHUNI hao...usije ukaingia MKENGE kwa porojo zao.Hello Fichua Uovu , Mimi ni Mkulima wa Parachichi Mkoani Njombe, Serikali ilitumia nguvu sana kutuhamashisha kulima zao la parachichi kwa kutuonyesha faida yake kwa Mkulima, lakini kwa sasa hali haipo hivyo.
Watu wengi tumeingia kwenye kilimo cha parachichi na kutumia gharama kubwa kuhudumia mashamba yetu lakini wakati wa kuuza bei imekuwa chini sana sababu.
1. Madalali wamekiwa wengi ambao hawataki kununua matunda ya grade 1 kwa Bei ya grade 1, yaani wananunua fresh avocado kwa Bei ya reject (grade 2).
Bei ya grade 1 ni 1700-2200 per kg, na Bei ya grade 2 au reject ni 450-600 per kg.
Mkulima anapata hasara ya 1250-1600 kwa kg.
2. Serikali imeacha kusimamia maslahi ya wakulima ambao waliambiwa waingie kwenye kilimo cha parachichi kuna faida, sababu viongozi wenye mamlaka wameingia kwenye biashara ya kununua direct au wafanyabiashara / Madalali wenye viwanda vya kukamua mafuta wamewafumba mdomo, hakuna udhibiti wowote kwa sasa, Wakulima tunaumia sana hakuna wa kututetea.
3. Madalali na wafanyabiashara wameungana na serikali (viongozi waliopewa dhamana) kumnyonya Mkulima, ukikataa kuuza kwa Bei ya fresh (grade 1) wanakuacha yaharibikie shambani.
PARACHICHI NYINGI ZINAZOCHUMWA LUPEMBE, MFRIGA 80% NI GRADE 1 ILA ZIMEUZWA KAMA REJECT ZIMEPAKIWA KWENYE MIFUKO.
Kama una njaa subiri hadi september ukuona mwaka jana walivyokuwa wanatafuta parachichi kwa tochiHello Fichua Uovu , Mimi ni Mkulima wa Parachichi Mkoani Njombe, Serikali ilitumia nguvu sana kutuhamashisha kulima zao la parachichi kwa kutuonyesha faida yake kwa Mkulima, lakini kwa sasa hali haipo hivyo.
Watu wengi tumeingia kwenye kilimo cha parachichi na kutumia gharama kubwa kuhudumia mashamba yetu lakini wakati wa kuuza bei imekuwa chini sana sababu.
1. Madalali wamekiwa wengi ambao hawataki kununua matunda ya grade 1 kwa Bei ya grade 1, yaani wananunua fresh avocado kwa Bei ya reject (grade 2).
Bei ya grade 1 ni 1700-2200 per kg, na Bei ya grade 2 au reject ni 450-600 per kg.
Mkulima anapata hasara ya 1250-1600 kwa kg.
2. Serikali imeacha kusimamia maslahi ya wakulima ambao waliambiwa waingie kwenye kilimo cha parachichi kuna faida, sababu viongozi wenye mamlaka wameingia kwenye biashara ya kununua direct au wafanyabiashara / Madalali wenye viwanda vya kukamua mafuta wamewafumba mdomo, hakuna udhibiti wowote kwa sasa, Wakulima tunaumia sana hakuna wa kututetea.
Pia soma ~ David Silinde: Serikali inajenga 'vyumba vya ubaridi' Rungwe kupunguza upotevu wa zao la Parachichi baada ya kuvunwa
3. Madalali na wafanyabiashara wameungana na serikali (viongozi waliopewa dhamana) kumnyonya Mkulima, ukikataa kuuza kwa Bei ya fresh (grade 1) wanakuacha yaharibikie shambani.
PARACHICHI NYINGI ZINAZOCHUMWA LUPEMBE, MFRIGA 80% NI GRADE 1 ILA ZIMEUZWA KAMA REJECT ZIMEPAKIWA KWENYE MIFUKO.
Pia soma: Kwanini Madalali kwenye Masoko wana nguvu kiasi hiki? Wakulima tunaumizwa
Sababu wenyewe ndio madalali chunguza vizuriSerikali yetu ya ccm haiwajali wakulima hata kidogo.