watasema unaishi kwa shemejiMkuu Ka buku Tu Kwa mwezi mmoja ? Mbona nipesa ndogo Sana? Kikubwa nikuwa mzalendo
Fundi ujenzi kutwa yake ni 20,000. Hana akaunti benki Ila ana mpesa. Akisema aweke akiba ile 10 kwenye mpesa anakatwa akitoa anakatwa. Sijajua hesabu gani walitumia Hawa watu.Tozo ya luku haina shida, tatizo lipo kwenye tozo ya miamala.
Uludi mara ngapi unazani hizo cash zote za miamala zinafikaPoint taken, Kama ufisadi ukirudi Kama ule wa awamu ya Kasi mpya, Ari mpya na nguvu mpya Basi........ Tumekwisha
Ndio shida yetu kuu na Hawa awamu ya nne waliodandia tren hii, maana ni mabingwa wa ku-divert funds.Uludi mara ngapi unazani hizo cash zote za miamala zinafika
Kwa hali hii bora magu hata Kama alikuwaNdio shida yetu kuu na Hawa awamu ya nne waliodandia tren hii..... Maana ni mabingwa wa kudaivert funds....
Na hapa Sasa kwa mazuri au kwa mabaya ndio watu watakapomkumbuka mwenda zake.
Ndio maana yake ...... Kwa ubaya wake woote mwendazake alikuwa na uchungu na nchi hii na naanza kuamini alichokuwa anafanya ilikuwa ni necessary evil na baadaye the end ingejustify the means....Kwa hali hii bora magu hata Kama alikuwa
Ndo mana alikuwa anasema mtanikumbuka alikuwa anajua Kuna watu hawana time na wanyongeNdio maana yake ...... Kwa ubaya wake woote mwendazake alikuwa na uchungu na nchi hii na naanza kuamini alichokuwa anafanya ilikuwa ni necessary evil na baadaye the end ingejustify the means....
Wenye nchi wanajua mtoto wa nani atakua Rais wa Zanzibar baada ya dr Hussein na nani atakua mgombea wa CCM 2025Kabisa, wengine tupo Kama alliens ..... Keki ya taifa hatuli kazi yetu kuchangia tozo tu wakati Kuna familia toka Uhuru kazi yao ni kula hiyo keki ya taifa inayotokana na tozo tunazotoa.