Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Serikali inayokkaribia kufeli, ukiona wananchi wanawekewa maneno mdomoni na watawala kwamba wamekubali mambo fulani.
Ukiona wananchi wakilazimishiwa fulani awe kiongozi.
Ukiona serikali inakosa kubuni chanzo cha mapato ambacho kila mtu ataridhia.
Ukiona kila mtu anaongea kwa kiburi kama nchi ni yake na kutisha watu wahame, ujue ufalme unafika ukingoni.
Ufinyu tu wa mawazo na kutaka pesa za haraka zisizo haki.
I’m very sure watakusanya kodi ya jengo moja mara 5-10 before hawa-fix hii issue na hii wanaijua.
Wizara ya ardhi na TRA hawashindwi kudevelop an App inayomu-/tambua /identify kila mtu mwenye ardhi na jengo mjini anaetakiwa kulipia ardhi kila mwaka, hata kama walitaka kutumia mita za luku kuweza kufikia taarifa za ardhi ambazo wizara ya ardhi wanaweza kutokuwa nazo Bado walitakiwa kujiridhisha na athari hasi kwa watu watakao takiwa kulipia kodi hiyo wakati sio wahusika.
Mfano mwanangu anasoa shule ya sheria pale Sinza wilaya ubungo, nimempangishia na nyumb yaowako wapangaji watano pale Sinza Kwa Remmy; kila mpangaji ana chumba na sebule, analipa kodi ya laki nne; means Mama Kunambi namlipa 4,800,000/= milioni nne na laki nane kwa mwaka, zidisha kwa wapangaji 4 ni milioni 18,400,000/= milioni kumi na nanena laki nne ambayo [withholding Tax] -kodi ya zuio ambayo ipo kisheria ilipaswa ikatwe haikatwi na hilipwi.
TRA kweli medula zenu hazifikiri haya mambo?
Kuna hawa watu wanaitwa MC, kwa wiki mtu anashgerehesha kazi nne zaidi ya milioni 5 lakini halipi zaidi ya 20000 elfu 20 kwa mwaka yaani kitambulisho cha machinga.
This thing was planned and won’t be fixed anytime soon until malengo yametimia Ndio solution itakuja. Sasa hivi tuumie tu sababu “tumeridhia tozo”