Serikali imchukulie hatua Baba Levo kwa Kuwadhalilisha Walimu

Huo ndio ukweli mchungu. Kila mei mosi walimu wanalia njaa sasa unakataa nini hapa.
 
Kwanini watu weusi hatupendi kuambiwa ukweli? sasa kusema ukweli ndio kuwadhalilisha?
 
Dah tulichagua wenyewe kuwa walimu na sasa tuvumilientu matusi na dharau tunazofanyiwa.
Hakuna tusi hapo huo ndo uhalisia wa maisha ya mwalimu,sema baba levo ametumia walimu kama case study lakini Kwa ujumla watumishi wengi wa umma hali ni mbaya bila kukopa hujengi,husomeshi,chombo Cha usafiri huwezi kumiliki, na ukisha kopa utaishi maisha magumu sana.yani saizi hata wanafunzi tunaowafundisha wanajua walimu wao choka mbaya🤣🤣🤣🤣🤣
 
Walimu wamebadilika kwa kiasi kikubwa Sana miaka hii wanamiliki miradi,majumba na magari mazuri wachache wanajikongoja kutokana na kausha damu.
 
Idadi ya watu wenye akili Tanzania inapungua siku hadi siku...

Ona aina nyingine ya mpiga kura huyu zao la CCM...

 
Baba levo hajakosea, kaongea bayana kabisa Ila kashindwa kuongezea na kada/kazi zingine.
Kwa ujumla kuajiriwa Tanzania hii kama mtumishi wa umma na ukawa unategemea kazi hiyo kwa 65% kupanda juu basi ukweli lazima uwe mchungu kamwe huwezi kuwa tajiri..Hili hata yule DAS wa Mvumero kama sio Gairo alilizungumzia.
Utajiri upo kwenye utumishi wa Umma wa kisiasa(Mbunge n.k). Huku Huwa tunaganga njaa/kutafuta tonge ili tusife njaa.
 
TAMISEMI, WIZARA YA ELIMU SAYANSI NA TEKNOLOGIA, WIZARA YA HABARI, TCRA
Hawa wa mbali sana, CWT ndo wangeonesha mfano kwa kumburuta mahakamani, instead wapo wanasubiri May Mosi wawadanganye walimu waendelee na kuandamana na kupigia makofi hotuba isiyo na manufaa kwao
 
🙈🙈
 
View attachment 3005746

Wasalamu wakuu.

Kuna video naona inazunguka kwenye mitandao ya kijamii ikimuonyesha mtu anayejiita baba levo akidhihaki na kuwafedhehesha walimu wetu wa Tanzania...
Serikali ni mnyanyasaji namba moja kwa walimu …..kwanzia sera zake , maslahi ya walimu, serikali imefanya secta ya ualimu ionekane ya hivyo swali serikali tuka mshtaki kwa nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…