Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Apartments nyingi za maghorofa ya kariakoo yamegeuzwa kuwa magodauni kwa ajili ya kuhifadhia mizigo ya makontena pindi inapotoka bandarini.
Kunakuta Apartment moja inajazwa mzigo wa makontena 3 hadi 5 ya 40 ft. kitendo kinachopelekea uzito mkubwa juu ya maghorofa.
Hizi apartment s zimesajiliwa kwa ajili ya makazi ila sasa hv zinabadilishwa matumizi na kuwa magodauni ya wafanyabiashara ambao wamekuwa wakijaza mizigo juu bila ya kujali uzito na uwezo wa hizo apartments kubeba mizigo.
Je, serikali imebariki yote haya yanayoendelea pale kariakoo?