Serikali imedanganya umma? Bei elekezi za Barakoa na Sukari zashindikana

Mtakamata watu bure , leteni vya bei rahisi bei ishuke
 
Sikilizeni huu wimbo ndugu zanguni na sote tutauimba pamoja

Hali ni mbaya mbaya kweli kweli ×2 ×3 ×45678910
 
Mambo mengine bwana,ukifwatilia huko nje zinakotengenezwa barakoa zimepanda bei + usafiri wa ndege kuleta hapa nao imekuwa ishu kg moja kwasasa wanasafirisha kwa dola 14-18 napo kupata nafasi ni ishu nyingine haya huyo mfanyabiashara atakaeuza bidhaa kwa bei ya hasara nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakala kwa Waziri wa viwanda na biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…