Serikali imedhamiria kujitoa kabisa kudhamini elimu ya juu?

na kwa mtoto aliesoma hizo shule mpaka form 6 mshua wake akapoteza maisha halafu bi mkubwa ni mama wa nyumbani hana mbele wala nyuma huyo utamsaidiaje bwana mikopo?
 
na kwa mtoto aliesoma hizo shule mpaka form 6 mshua wake akapoteza maisha halafu bi mkubwa ni mama wa nyumbani hana mbele wala nyuma huyo utamsaidiaje bwana mikopo?

JAMANi na mimi nasubiri jibu la swali hili.
 
Hali itakuwa tete sana kwa wadogo zetu, tuwape pole sana mlioko mashuleni, lakini ngoja tuangalia means testing za mwaka huu wa masomo zitakuwaje.
 
na kwa mtoto aliesoma hizo shule mpaka form 6 mshua wake akapoteza maisha halafu bi mkubwa ni mama wa nyumbani hana mbele wala nyuma huyo utamsaidiaje bwana mikopo?

Swali zuri. Kuna shule inaitwa St. Jude inasomesha watoto maskini bure, kwa mantiki hiyo na hawa watoto wakose ufadhili?
 
Bado sijaelewa nimechek koz za maabara {medical laboratory} naona mkopo non-priority,vp hiyo siyo faculty ya science au kila mtu akasome nursing.naona giza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…