Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Serikali Imeendelea Kuhamasisha ufugaji wa samaki kwa vizimba nchini. Kwa kipindi cha mwaka 2000 hadi 2024 Jumla ya vizimba 222 vilitolewa kwa wananchi 1,213 ambao wanatokana na vyama vya ushirika 17, vikundi 31 na watu binafsi wawili (2).
Maeneo 39 yanayofaa kwa ufugaji samaki kwa vizimba katika Ziwa Victoria yameainishwa huku maeneo hayo yote akiwa na uwezo wa kuweka vizimba 19,500 vitakavyotoa takriban ajira 5,000 na tani 100,000 za samaki.
Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.
#samiaapp
#kaziiendelee
#tumejipatanamama