Serikali imeendelea kuongeza Vituo vya Afya Nchini

Serikali imeendelea kuongeza Vituo vya Afya Nchini

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Serikali imeendelea kuongeza Vituo vya Afya Nchini. Vituo vya kutolea huduma za Afya 9,693 mwaka 2024.

Kwa mwaka 2021 jumla ya vituo vya kutolea huduma za afya vilikuwa 8,547 ambapo Ongezeko 1,146.
IMG-20240814-WA0013.jpg
 
Nataka nilipuke hapa
 

Attachments

  • Screenshot_20240814-131923.jpg
    Screenshot_20240814-131923.jpg
    118.6 KB · Views: 1
Vituo vingi huduma ni duni na Usiku ndo kabisa hakuna mtu,nina ushahidi wa ninachokizungumza
 
Back
Top Bottom