Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Serikali imeendelea kuwashika mkono wachimbaji wadogo
Katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2024 kupitia Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) kwa kununua mitambo midogo mitano (5) ya uchorongaji maalumu kwa ajili ya wachimbaji wadogo.
Wachimbaji 17 wamepata huduma ya uchorongaji kwa kuchimbiwa jumla ya mita 4,857.2 kwa gharama nafuu ya wastani wa shilingi Milioni 10.8 kwa mita 100 badala ya shilingi Milioni 22.75 ambayo ni bei ya soko.
Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store
#samiaapp
#kaziiendelee
#tumejipatanamama