Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Serikali Imeendelea na Ujenzi wa Bwawa la Kidunda lililopo Wilaya ya Morogoro Vijijini mkoani Morogoro.
Mradi huu ulikuwepo kwenye mipango ya maendeleo tangu Tanzania ilipopata Uhuru mwaka 1961 ambapo utekelezaji wake umeanza.
Ujenzi utatekelezwa kwa gharama ya Sh. bilioni 336 ambapo hadi sasa mwezi Februari 2025, Ujenzi umefikia asilimia 27 Kukamilika ifikapo 2026.
Bwawa hili litakuwa na uwezo wa kutunza lita za maji bilioni 190 na kuhakikisha upatikanaji wa maji safi na salama kwa mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro.
Mbali na kuhifadhi maji bwawa litakuwa na uwezo wa kuzalisha umeme wa maji MW 20 pamoja na kusaidia katika umwagiliaji.
Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.
#samiaapp
#kaziiendelee
#tumejipatanamama