Serikali ilitoa ruhusa kuwa mtu /watu wanaotaka kuanzisha mabucha ya nyama pori ni ruhuksa mradi wamefuata taratibu zilizowekwa na Serikali. Tangu agizo hilo litolewe watu wengi wamekarabati maeneo yanayotakiwa kuwepo kwa mabucha hayo hasa hapa Mwanza lakini sasa yapata miezi mitano hakuna nyama ya pori inayouzwa kwenye mabucha hayo. Kila ukiwauliza wanakuambia kuwa kule juu utaratibu bado.
Sasa tujiulize, je hii ilikuwa danganya toto?.
Sasa tujiulize, je hii ilikuwa danganya toto?.