Lakini aliyezungumza alikua ni mtu fulani mwenyewe ambaye sasa hayupo.ilikuwa kumridhisha mtu fulani. sasa hayupo
Mkuu tuzifuate tuu hukohuko...Serikali ilitoa ruhusa kuwa mtu /watu wanaotaka kuanzisha mabucha ya nyama pori ni ruhuksa mradi wamefuata taratibu zilizowekwa na Serikali. Tangu agizo hilo litolewe watu wengi wamekarabati maeneo yanayotakiwa kuwepo kwa mabucha hayo hasa hapa Mwanza lakini sasa yapata miezi mitano hakuna nyama ya pori inayouzwa kwenye mabucha hayo. Kila ukiwauliza wanakuambia kuwa kule juu utaratibu bado.
Sasa tujiulize, je hii ilikuwa danganya toto?.
Binafsi nilibahatika kula nyama ya mamba kwa mara ya kwanza huko.. hii ilinipa kumbukumbu ya kipekeeWalifaa waende namibia [emoji1176] kujifunza
Nadhani ingefaa serikali ikaachia sekta binafsi kuwekeza/biashara. Ingehamasisha kwenye uwekezaji wa wild ranches binafsi huko ndio sehemu kubwa ingetoka nyama. Ile mbinu ya mwendazake kutoka game reserves haikua sustainable
Very true kk Namibia-Germans wanajua πBinafsi nilibahatika kula nyama ya mamba kwa mara ya kwanza huko.. hii ilinipa kumbukumbu ya kipekee