Serikali imefikia wapi suala la uwekezaji bandarini na DPW?

TikTok2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2022
Posts
1,816
Reaction score
3,150
Wanajamvi salaam

Napenda kujua serikali imefikia wapi kuhusu uwekezaji bandarini na DPW?

Naona kimya kimetanda,nini kinaendelea baada ya azimio la Bunge?

sa100 toa Nemo moja na mioyo ya watanzania iponywe.

Nawasilisha.
 
Hawaji, lakini hata wakija watakuja na majibu ya uongo, kama ambavyo wamekuwa wakitudanganya tofauti na ule mkataba unavyosema.
 
Wanajamvi salaam

Napenda kujua serikali imefikia wapi kuhusu uwekezaji bandarini na DPW?

Naona kimya kimetanda,nini kinaendelea baada ya azimio la Bunge?

sa100 toa Nemo moja na mioyo ya watanzania iponywe.

Nawasilisha.
Wanasubiri kelele ziishe wasaini mikataba mingine ya siri
 
Wanajamvi salaam

Napenda kujua serikali imefikia wapi kuhusu uwekezaji bandarini na DPW?

Naona kimya kimetanda,nini kinaendelea baada ya azimio la Bunge?

sa100 toa Nemo moja na mioyo ya watanzania iponywe.

Nawasilisha.
Wakija tuwapopoe mawe. Polisi nao wajitambue tunapigania nchi yetu tanganyika iliyouzwa na wazazibar watatu na mamluki Kitenge , Zembwela , Zeluzelu na wengine.
 
Back
Top Bottom