TikTok2020
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 1,816
- 3,150
Wanasubiri kelele ziishe wasaini mikataba mingine ya siriWanajamvi salaam
Napenda kujua serikali imefikia wapi kuhusu uwekezaji bandarini na DPW?
Naona kimya kimetanda,nini kinaendelea baada ya azimio la Bunge?
sa100 toa Nemo moja na mioyo ya watanzania iponywe.
Nawasilisha.
Wakija tuwapopoe mawe. Polisi nao wajitambue tunapigania nchi yetu tanganyika iliyouzwa na wazazibar watatu na mamluki Kitenge , Zembwela , Zeluzelu na wengine.Wanajamvi salaam
Napenda kujua serikali imefikia wapi kuhusu uwekezaji bandarini na DPW?
Naona kimya kimetanda,nini kinaendelea baada ya azimio la Bunge?
sa100 toa Nemo moja na mioyo ya watanzania iponywe.
Nawasilisha.
Mikataba imeshasainiwa DP wameshaanza kuleta vifaa kazi ianze we wawapi? Kama umekasirika kunywa sumu au hama nchi.Wanasubiri kelele ziishe wasaini mikataba mingine ya siri
Hoja kuu kuhusu vipengele vya kuuza nchi zifanyiwe kaziMikataba imeshasainiwa DP wameshaanza kuleta vifaa kazi ianze we wawapi? Kama umekasirika kunywa sumu au hama nchi.
Tayari tumesha pigwa bei?Mikataba imeshasainiwa DP wameshaanza kuleta vifaa kazi ianze we wawapi? Kama umekasirika kunywa sumu au hama nchi.