Serikali imefuta certificate ya ualimu?

CHEKEA

Member
Joined
May 1, 2013
Posts
83
Reaction score
50
Mwenye kujua juu ya suala la certificate ya ualimu,maana hadi mwaka jana waliopata division 4 ya point 27 alikuwa na sifa ya kusomea ualimu wa shule ya msingi,mwaka huu hadi sasa sijaona tangazo lolote kuhusu suala hili.Nawaombeni mwenye taarifa kama certificate ya ualimu imefutwa au bado ipo,na kama ipo inasomwa kwa sifa gani ya ufaulu.
 

Mkuu
Certifacate ya ualimu haijafutwa bali muda wake wa maombi kwa mwaka huu umeshapita inamaana ni mpaka mwakani tena lakini still tangazo lililotoka mwaka huu walikuwa wanachukua point 27, hop umenielewa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…