Serikali imehalalisha biashara ya nyeti bandia?

Tatizo vijana wanashindia chips unategemea nini?

Unakuta kijana amekaa na smart phone huku anatafuna chips anashua na mirinda, unategemea nini hapo?

Enzi zetu mambo haya hayakuwepo kabisa.
Pia siku hizi visima ni vipana sana Ili upate maji uwe na moyo.
Vinu vinatumika Sana hadi utanuka Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…