Serikali imehalalisha biashara ya nyeti bandia?

Wala sitaki dawa....wacha nibaki na kibamia changu. Uzuri wa kuwa na kibamia ni kwamba demu mwenyewe anakubwaga walaa hupati tabu.
Unakula mbususu mara moja ndio inakuwa ntolee maana unajua hatarudi
Watakukimbia iyo dawa ya kimasai mzuri Sana
 
Tatizo mnakuwa waoga, feel free kushare fantasy zako na mke wako. Unavyofata kwa malaya hata mkeo anaweza kukupa, tatizo mnajifanya watakatifu kumbe deep inside mnatamani mambo mazuri😅😅
Aise...shemeji atakuwa anafaidi...yaani fantasy zote anapewa tuu
 
Tatizo vijana wanashindia chips unategemea nini?

Unakuta kijana amekaa na smart phone huku anatafuna chips anashua na mirinda, unategemea nini hapo?

Enzi zetu mambo haya hayakuwepo kabisa.
Umekariri.
 
Aise...shemeji atakuwa anafaidi...yaani fantasy zote anapewa tuu
Maisha mafupi haya kesho tu unadead..kujifanya mtakatifu kumbe mwizi, msengenyaji tunakutana wote motoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…