Serikali imeiuza Kariakoo kwa Wachina

Nionyeshe permanent settlement ya mwaarabu na mhindi hapa bongo tofauti na kupanga? Wote wakipata hela wanahamia ulaya bongo hawajengi.
 
Haiwezekani Kariakoo wachina wanaishi kama kwao.

Mbaya zaidi hawalipi kodi ipasavyo. TRA haina kanuni za asiye raia kulipa kodi kama mzawa

Hii ni sawa tu na kusema Kariakoo imeuzwa
Na bado lile soko la ubungo jipya lazima wachina wamiliki lote, ni wakati sasa mawinga wa kariakoo kwenda veta au kuweka majembe mabegani muelekee shamba..mmeumiza watu Kwa bei zenu za ajabu ajabu Kwa muda mrefu.
 
Nenda na wewe kanunueee
Au nyie ndiyo mnaishia kufungua bar tu alafu mnasema nna big investment

Ova
 
Hawa jamaa WA huku jf wengi chadema kila kitu wabishi.yaani hawapendi mafanikio ya watu halafu hawajui hata kitu.ushabiki Tu
Kwani mchina akiuza simu pale kariakoo elfu 5 kwa chinga au winga yeye ndo itamfikia kwa elfu sita.?
Wasichojua hata winga hausiki Kwanza winga anafaidika na mchina.wao ni winga winga . Wala mchina Hana madhara kwa winga .winga anafaidi tu
 
Hapo ndipo walanguaji wa kibongo wanapoumia,mfano citi store pale,ukiingia kila utakachokikuta ndani elfu 3
Kuna supamaketi ipo Maili Moja Kibaha pale ni ya wachina, walikuwa wanauza bulb za Wat 5 na 7 kwa Tshs. 1,100 wakati madukani kwa Mangi tunauziwa Tshs. 2,500 mpaka 3,000. Wananchi tukawa tunanunua zile unit 3 nk Sasa bwana wenye maduka wakaenda kuzivamia zooote na wakazirudisha madukani kwao ili watuuzie kwa Tshs. 3,000/= 😄😄

Vitasa vya Spider walikuwa wanauza elfu 11 wakati mitaani vinauzwa elfu 25

Sasa haya malalamiko mengi ni ya wafanyabiashara za kilanguzi wanatoa milio
 
Thibitisha kauli zako kuwa wameinunua na hawalipi kodi?
vipi na wakinga wanataka kuinunua Guangzhou? Maana wanajazana China kama kwao! We bakiaga hivyo hivyo.chelsea inawachezaji wengi weusi kuliko wazungu na wala hawana shida!
Au timu ya taifa ya soka ya ufaransa
 
Matajiri njaa wa kariakoo wengi hawalipi Kodi biashara za ujanja ujanja hata Samia kasema walichoma soko ili kuunguza nyaraka wasilipe kodi
 

Wewe nyoko utaenda akhera kabla ya muda wako, pumbaf kabisa, hujui hata sheria za Investment zinasemaje kuhusu foreign investor, minimum of $ 100k per person, sio kikundi wachange alafu wanampa mtu mmoja ajisajili..!! Na wachina Kkoo ndio wakwepa kodi sana kwani wamepanga kwenye maghorofa alafu ukitaka kununua bidhaa mnaongelea waliko panga, wanakuuzia bidhaa hapo hapo maghorofa ya Kkoo na hakuna kodi wala nini..!!

Huna maisha wala akili ww nyoko, pumbaf kabisa
 
Kwani lazima wote mkae kufanya umachinga Kariakoo? Kwanini msiende kulima mabonde na misitu yenye rutuba yako ya kumwaga.

Ila mumeona kukaa Kariakoo na kufanya uwinga ndiyo jambo la maana
Fikiria mtu amevuka mito bahari na milima kutoa China hadi Tanzania 🇹🇿 hapo kuna jambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…