Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Mwafrika anafurahia anguko la mwafrika wenzakeNa hii ndio legacy ya ujamaa, kitu pekee mtanzania anaweza ni propaganda. Kwasasa ni muache ulanguzi au mkubali kufa kifo cha mende
Nyuzi nyingi sana humu Jf zipo tangu kitambo mkionywa upumbavu wa kutaka mpaka faida zaidi ya 100% mkapofusha macho na kuziba masikio.
Wakati umewadia kushare kile kikombe mlichokuwa mnatunywesha nacho maji, serikali wasikilizie hata miaka mitano ijayo then wawapige ban wachina maana mpaka wakati huo vichwa vyenu vitakuwa vimerudi kwenye default settings
Tatizo huku jf kila mada mtu anataka kuchangia Tu kwa ushabiki.hata kitu hakijui basi Yumo.chuki Tu na wivu WA wazawaUmemueleza kitu kigumu kwake. Mueleze kwa lugha ya ishara.
Ndo nilichojifunza humu.hasa wanaume aisee hampendaniMwafrika anafurahia anguko la mwafrika wenzake
Watanzania wote na waafrika hampendaniNdo nilichojifunza humu.hasa wanaume aisee hampendani
Kwa yanayotokea kwa Mzee Trump...binadamu wote ni Sawa Tu! Watu wanakula pesa za marehemu, Watu wanapewa pesa kuandamana kama CCM wanavyotoa tisheti na kofia tupige Kura, Watumishi hewa nao wamo kama kwetu Tu,Nenda kwa wenzetu, hakuna ujinga huu
Wazawa tuache ghubu. Wachina ni msaada Sana kwetuHaiwezekani Kariakoo wachina wanaishi kama kwao.
Mbaya zaidi hawalipi kodi ipasavyo. TRA haina kanuni za asiye raia kulipa kodi kama mzawa
Hii ni sawa tu na kusema Kariakoo imeuzwa
Unahangaika na mawinga ambao ni wabangaizaji unashindwa kuumia watu wanavuna mabilion ila mwafrika kifikra anasafari ndefu sanaMawinga wamefikiwa, bado madalali wa magari na nyumba, wachina waonyeshwe hiyo fursa.
Mpaka uuziwe gari ya wizi, upangishiwe nyumba iliyokwishalipiwa na mwingine au yenye mwenye nyumba feki, uuziwe kiwanja cha manispaa au uuziwe simu feki kariakoo kwa bei kubwa ndo utaelewa kwanini madalali na mawinga watanzania wenzao wanaona bora wachina. Unless wewe ni dalali au winga ndo hutoelewa hichi kilio cha watanzania wenzako.Unahangaika na mawinga ambao ni wabangaizaji unashindwa kuumia watu wanavuna mabilion ila mwafrika kifikra anasafari ndefu sana
Hao unaowaita madalali, na mawinga wengi e ni ndugu zetu, majirani, na ukipata shida ndo watakaokusaidia na sio mchina ebu tupendane waafrika
Mwafrika anaombea mabaya kwa mwafrika mwenzake alafu unajiona unaakili kwa akili hizi tunasafari ndefu sanaMpaka uuziwe gari ya wizi, upangishiwe nyumba iliyokwishalipiwa na mwingine au yenye mwenye nyumba feki, uuziwe kiwanja cha manispaa au uuziwe simu feki kariakoo kwa bei kubwa ndo utaelewa kwanini madalali na mawinga watanzania wenzao wanaona bora wachina. Unless wewe ni dalali au winga ndo hutoelewa hichi kilio cha watanzania wenzako.
Fikiri kabla ya kuandika boss, huwezi halalisha malalamiko kwa mawinga kwa hoja ya kipato. Watanzania wengi ni wenye kipato kidogo na cha chini.Mwafrika anaombea mabaya kwa mwafrika mwenzake alafu unajiona unaakili kwa akili hizi tunasafari ndefu sana
Sio kweli eti madalali wote ni wabaya wako wazuri alafu sio kila mtu anamda wa kwenda kuzurura kariakoo wengine mda hawana kwa hiyo wanatumia mawinga
Ukishaona unalalamikia mawinga fahamu kipato chako ni kidogo pambana uongoze kipato
Wachina wako sahihi sana! Ni lazima wasake fursa kokote duniani Kwa ajili kulijenga taifa lao la china ili liwe super power, na kurithisha vizazi vyao uchumi wa uhakika! Watanzania mnapoambiwa chagueni visionary leaders na wenye wivu na taifa lao mmekalia uchawa na mapambio, ktk zama hizi ambazo vita ya kiuchumi inapiganwa Kwa ustadi na werevu wa hali ya juu tunapaswa tuwe na viongozi smart sana! Wenye upeo wa juu, maono na wivu Kwa taifa! Madhara ndio haya sasa watu kubaki kulia lia na hata viongozi wenu hawana namna ya kuwafukuza maana hao wanaabudiwa kama wawekezaji. Kimewaramba!Hao wabishi achana nao, na wanadhani hawatofikiwa.
Aya sasa Mchina ananunua ardhi yenye madini uko Chunya na maeneo mengine, Mchina ana makarasha na miundombinu ya kuchimba anabeba dhahabu ya wazawa ambayo ina soko regulated duniani na bei ni soko la dunia. Napo utaambiwa wachimbaji wa Kitanzania wanataka faida kubwa.
Ukienda mikoa kama Katavi unakuta Wachina wanamiliki ardhi ya kilimo, wamepataje hujui. Wanavijiji wanambulia kuwa watumwa kwenye ardhi zao.
Nina jamaa yangu aliajiriwa nao mradi fulani, wakampeleka short course, sasahivi wamesajili kampuni kupitia wabongo wawili na terms ngumu wamewapa. Yupo front kama geresha operations ni wao wanashusha makontena.
Ubaya wa Wachina wanakomba hela kwenye mzunguko na hawana settlement ya kudumu hapa. Bora hata Wahindi na Waarabu kwa kiasi fulani tunao makumi elfu mitaani, Wachina wakipata hela yote wanatuma kwao na miaka kadhaa wanarudi kwahiyo hatupati re-investment ya ile faida yao.
We unaona tatizo ni mawinga mtu ambaye anabangaiza na kukaa hata week hajauza hata Mia mtu ambaye akiumwa hangizi hata MiaFikiri kabla ya kuandika boss, huwezi halalisha malalamiko kwa mawinga kwa hoja ya kipato. Watanzania wengi ni wenye kipato kidogo na cha chini.
Swali la kujiuliza kwanini Watanzania wakanunue kwa wachina badala ya mawinga?
Mkuu Serikali ya awamu ya sita na ile ya awamu ya 4 zote zimeungana zimekua awamu moja zinashirikiana na Wachina kuibomoa nchi, Serikali ya awamu ya 4 ilikua inawashtaki wa China kwa kuhujumu uchumi leo hii serikali inashrikiana nao,we nenda uko Mikoani Maeneo yote ya Migodi midogo midogo wamepewa Wachina, Mara mia Uchumi wetu ushikwe na Mabepali kuliko awa Masikini wenzetu.Wachina ni janga kubwa sana Serikali inabidi ichukue hatua haraka sana hasa kokote kule kwenye wachina Kariakoo, pale Ubungo jengo kubwa jipya, hawa wachina ni watu hatari sana na wataua uchumi wa nchi yetu na wananchi kupoteza biashara zao..!! Kuna wachina pia walitoka Mombasa wako Dar, wanajenga majengo, ni hatari sana, pia TIC waangalie wawekezaji wa kichina ni wahuni kwani anakuja mmoja ana dollar say $100,000 anajisajili mmoja kama investor kumbe wako wachina 100 ndio wamejichangisha..
Wachina wachukuliwe ni hatari kubwa kama Corona kwa uchumi wa nchi yetu, wachina wote Serikali iwafuatilie, iwe kama janga la Taifa, hasa Kkoo itapotea kabisa na wananchi wetu watapoteza biashara zote.
Duuuh we unawajua Wachina Bora tuwakumbatie Wazungu kuliko WachinaWazawa tuache ghubu. Wachina ni msaada Sana kwetu
Msaada kwa maana vitu vyao pamoja na kuwa fake ila ni cheap Sana and affordableDuuuh we unawajua Wachina Bora tuwakumbatie Wazungu kuliko Wachina
Huwezi halalisha tatizo kwa hoja ya ubangaizaji, vibaka na wakabaji ni wabangaizaji pia.We unaona tatizo ni mawinga mtu ambaye anabangaiza na kukaa hata week hajauza hata Mia mtu ambaye akiumwa hangizi hata Mia
Mawinga wengi wanamaisha magumu kuwatupia lawama ni kuwaonea wale ni wabangaizaji
Muafrika ndio anafurahia kumnyonya muafrika mwenzakeMwafrika anafurahia anguko la mwafrika wenzake